Unaweza kupata HIV/AIDS kupitia HANDJOB/FOOTJOB?

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,381
Habari wakuu
Je inawezeka mtu akafanyiwa/akafanya handjob/footjob na mwathirika wa HIV/AIDS na asipate maambukizi?
NB:nimegoogle wazungu wanasema NO,Je sisi waafrika tunasemaje?
 
Mikono wa wazungu laini sana halafu wao ni wataalam wa hiyo kazi. Huwezi niambia kuwa mwalimu ni sawa na mwanafinzi, Hapana. Hivyo kwao sio rahisi ila kwetu, mikono yenyewe tu inakwaruza na hawaijui kaz bila msaada wa picha ukutani hufikishi barua
 
Kwa hiyo wewe ulimchezea mwathirika libolo lake mpaka akamwaga, ndo unauliza kuwa unaweza athirika? Kwa hiyo ulimfundisha mwezio awe member wa chaputa?
 
Habari wakuu
Je inawezeka mtu akafanyiwa/akafanya handjob/footjob na mwathirika wa HIV/AIDS na asipate maambukizi?
NB:nimegoogle wazungu wanasema NO,Je sisi waafrika tunasemaje?
Fafanua hizo handjob au footjob ni nini
 
Mikono wa wazungu laini sana halafu wao ni wataalam wa hiyo kazi. Huwezi niambia kuwa mwalimu ni sawa na mwanafinzi, Hapana. Hivyo kwao sio rahisi ila kwetu, mikono yenyewe tu inakwaruza na hawaijui kaz bila msaada wa picha ukutani hufikishi barua
Mbona wanadai hata kama itatokea michubuko huwezi pata
 
Hauwezi mkuu, ukipenda unaweza hata kushika "mic" na kutuma salamu nyumbani kolomije.
 
Masterbution ambayo unafanyiwa na mtu mwingine like massage
Kwanza sidhani kama masterbution ndiyo message kama ulivyoandika.

Kumbuka maambukizi ya HIV yanatokana na kukutana na majimaji ya mwili mfano damu, manii, maji maji ya uke nk ya mtu mwenye VVU na wewe ukiwa na michubuko uwezekano wa kuambukizwa ni mkubwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom