Unaweza kumuacha mpenzi wako kisa haamini uwepo wa Mungu??

Hapa pananihusu sana yaani sana,general Mangi binafsi nina mahusiano ya aina hiyo na ninampenda sana yaani zaidi ya sana,tulidiscuss na leo pia tumeongelea hayo na tulishakubaliana kuwa mimi na watoto wetu waende Kanisani,asitulazimishe na mimi kama mama nsimuingilie kwenye mstari wake ila pia kikubwa alichosema kuwa watoto kusoma dini hasa biblia ni kwa ajili ya kuwashape na utamaduni,mimi bana mambo ya dini huwahayanipi shida sana yaani sana nimekulia familia y kiislam waliojenga misikiti ila mimi ni mkristo,mara ya kwanza nlipeleka MUAIC saahizi nampeleka mpagani:):):)(wallah wazeee watazimia awamu hii) uzuri jamaa kichwani yuko vizuri sana na nlimuambia tutapitia magumu najua hutotereka wala kuniangusha dini ni mazoea tuliyokuwa nao kuhusu mimi na wewe tutazeeka pamoja wewe ndo wa kuniogesha nkiumwa mimi ndo natakiwa nikushike mkono ukiwa hoi au huna macho misimamo yetu ni muhimu,halafu hata maandiko yenyewe yanasema sisi wamama ndo walinzi na wa kuombea familia.CHA KUFURAHISHA ZAIDI YEYE NDO ATAKUWA MWALIMU WETU WA DINI NA BIBLIA
Kwako wewe sasa Mangi nahisi mdada bado hajapanuka kifikra atakusumbua tu usilazimishe mambo we subiri utapata atakayekuelewa au mpagani mwenzio:p:p.
Mimi nimeona nisisumbue akili yangu tena,
Nimeachana nae, mana sio kwa reactions zile.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kipi bora
Kushika imani yako kwa Mungu aliye hai ama kumkana
Imeandikwa ole wake yy anikanaye mbele za watu na mm nitamkana mbele ya baba yngu
Uamuzi ni wako kk
Sijamlazimisha amkane mungu wake, wala sijamnyima uhuru wa kuabudu.

Wewe unaweza muacha mtu ambae hajakunyima uhuru wa kuabudu lkn yeye hana dini wala kuamini uwepo wa mungu?
 
Kwan kuamin Mungu n kwenda kanisan???? Au mtoa maada umejuaje kama haamin Mungu au kakwambia????? Maana wabongo wakishaona huend kanisan ndo wanajua kuwa humwamin Mungu,,,

Unaweza kuwa huend kanisan ila unajua na kuamin kuwa Mungu ndo mwokozi wa maisha yako,,
Mleta mada ndie haamini mungu, mwezie ni mfia dini,
 
Back
Top Bottom