Unaweza kumuacha mpenzi wako kisa haamini uwepo wa Mungu??

Una mpenzi wako, mpo katika uchumba. Kwa kipindi chote ame fake kuwa ni muumini wa dini fulani ambayo ndio unayo wewe.

Sasa siku unakuja gundua si kweli, hana dini na haamini uwepo wa Mungu.

Mambo mengine yupo safi, ni mstaarabu na mwenye nidhamu. Hajawahi kukutonesha, kukuumiza wala kukutenda. Anakupenda sana nawe wampenda. Hana tatizo na imani yako, kakupa uhuru uamini utakavyo..

Eti, waweza mwacha kisa tu haamini uwepo wa mungu, na pamoja na jitihada za kumbadilisha zimegonga mwamba?

Karibuni,
Kwanini ujifiche kwa kile unachoamini?

Mimi binafsi huwa nataka kila ninayekuwa karibu naye ajue kuwa siamini uwepo wa mungu na ninampa sababu ambazo zinanifanya nisiamini. Na wote wananielewa na wanakua upande wangu. Kinachobaki kwao ni mazoea kwa mazingira wanayoishi na waliyokulia
 
Unakuta unajaribu swali kama hili, hiyo reaction unaona bora upotezee tu
 
Kwanini ujifiche kwa kile unachoamini?

Mimi binafsi huwa nataka kila ninayekuwa karibu naye ajue kuwa siamini uwepo wa mungu na ninampa sababu ambazo zinanifanya nisiamini. Na wote wananielewa na wanakua upande wangu. Kinachobaki kwao ni mazoea kwa mazingira wanayoishi na waliyokulia
mkuu hebu nipe na mimi niweze kujitetea maana kuna watu hapa wanataka kunizidi nguvu
 
Hahahahahha

Nimechekaa sanaa,
Wenzio watu kama hao wanamuona shetani daily ndio maana hawaamini Mungu yupo kama wakina beyonce walianza hivyo kwakuficha sasa wao ndio Miungu huko marekani na walikuwa hawaamini Mungu yupo .
Ukishamuona Mtu hamuogopi Mungu kaa pembeni.
usiangaike kumbadilisha kashatekwa kwingine wadada wengine wao sio wanaenda kwa waganga wenzako wao ndio wakali hata waganga na wachawi wanawapigia saluti dunia hii ina tishagaa.
 
mimi ndo kabisa siamini hata
 
Hapa pananihusu sana yaani sana,general Mangi wewe umekosea kumficha tokea mwanzo ungekuwa muwazi ingesaidia,uhusiano ujao kuwa muwazi mapema binafsi nina mahusiano ya aina hiyo na ninampenda sana yaani zaidi ya sana,tulidiscuss na leo pia tumeongelea hayo na tulishakubaliana kuwa mimi na watoto wetu waende Kanisani,asitulazimishe na mimi kama mama nsimuingilie kwenye mstari wake ila pia kikubwa alichosema kuwa watoto kusoma dini hasa biblia ni kwa ajili ya kuwashape na utamaduni,mimi bana mambo ya dini huwahayanipi shida sana yaani sana nimekulia familia y kiislam waliojenga misikiti ila mimi ni mkristo,mara ya kwanza nlipeleka MUAIC saahizi nampeleka mpagani:):):)(wallah wazeee watazimia awamu hii) uzuri jamaa kichwani yuko vizuri sana na nlimuambia tutapitia magumu najua hutotereka wala kuniangusha dini ni mazoea tuliyokuwa nao kuhusu mimi na wewe tutazeeka pamoja wewe ndo wa kuniogesha nkiumwa mimi ndo natakiwa nikushike mkono ukiwa hoi au huna macho misimamo yetu ni muhimu,halafu hata maandiko yenyewe yanasema sisi wamama ndo walinzi na wa kuombea familia.CHA KUFURAHISHA ZAIDI YEYE NDO ATAKUWA MWALIMU WETU WA DINI NA BIBLIA
Kwako wewe sasa Mangi nahisi mdada bado hajapanuka kifikra atakusumbua tu usilazimishe mambo we subiri utapata atakayekuelewa au mpagani mwenzio:p:p.
 
taratibu basi eti
Wenzio watu kama hao wanamuona shetani daily ndio maana hawaamini Mungu yupo kama wakina beyonce walianza hivyo kwakuficha sasa wao ndio Miungu huko marekani na walikuwa hawaamini Mungu yupo .
Ukishamuona Mtu hamuogopi Mungu kaa pembeni.
usiangaike kumbadilisha kashatekwa kwingine wadada wengine wao sio wanaenda kwa waganga wenzako wao ndio wakali hata waganga na wachawi wanawapigia saluti dunia hii ina tishagaa.
 
Hapa pananihusu sana yaani sana,general Mangi binafsi nina mahusiano ya aina hiyo na ninampenda sana yaani zaidi ya sana,tulidiscuss na leo pia tumeongelea hayo na tulishakubaliana kuwa mimi na watoto wetu waende Kanisani,asitulazimishe na mimi kama mama nsimuingilie kwenye mstari wake ila pia kikubwa alichosema kuwa watoto kusoma dini hasa biblia ni kwa ajili ya kuwashape na utamaduni,mimi bana mambo ya dini huwahayanipi shida sana yaani sana nimekulia familia y kiislam waliojenga misikiti ila mimi ni mkristo,mara ya kwanza nlipeleka MUAIC saahizi nampeleka mpagani:):):)(wallah wazeee watazimia awamu hii) uzuri jamaa kichwani yuko vizuri sana na nlimuambia tutapitia magumu najua hutotereka wala kuniangusha dini ni mazoea tuliyokuwa nao kuhusu mimi na wewe tutazeeka pamoja wewe ndo wa kuniogesha nkiumwa mimi ndo natakiwa nikushike mkono ukiwa hoi au huna macho misimamo yetu ni muhimu,halafu hata maandiko yenyewe yanasema sisi wamama ndo walinzi na wa kuombea familia.CHA KUFURAHISHA ZAIDI YEYE NDO ATAKUWA MWALIMU WETU WA DINI NA BIBLIA
Kwako wewe sasa Mangi nahisi mdada bado hajapanuka kifikra atakusumbua tu usilazimishe mambo we subiri utapata atakayekuelewa au mpagani mwenzio:p:p.
Umenena vyema na kwa hisia kali sana
 
kama haamini uwepo wa Mungu basi huyo ni hatari kwa watoto wangu. .. ni heri afungiwe jiwe la kusagia na atupwe baharini kuliko kuingia jehanam ya moto.
 
Kipi bora
Kushika imani yako kwa Mungu aliye hai ama kumkana
Imeandikwa ole wake yy anikanaye mbele za watu na mm nitamkana mbele ya baba yngu
Uamuzi ni wako kk
 
Kwan kuamin Mungu n kwenda kanisan???? Au mtoa maada umejuaje kama haamin Mungu au kakwambia????? Maana wabongo wakishaona huend kanisan ndo wanajua kuwa humwamin Mungu,,,

Unaweza kuwa huend kanisan ila unajua na kuamin kuwa Mungu ndo mwokozi wa maisha yako,,
 
Back
Top Bottom