frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 619
- 805
Usije ukajaribu utapigwa ufe Unajua ni shida gani tunapata kutembea nazo mda wote , mimi atakae jaribu kuchezea mali inayotunza heshima ya Uvulana wangu nitakula nae sahani moja.Tushajua sasa, wale vidume mnajifanya mna nguvu sana za kupiga wanawake na za kutafuta pesa hamna hii ndio dawa yenu. Ni kuziminya sawasawa halafu unachomoka speed ya light.