Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?

Duh nakumbuka nilikuaga mdogo ila kuna tukio halifutiki kichwani, tulikua home na mama , mara tukasikia jirani mke anagombana na mumewe, niliskia huyo baba analia kwa uchungu mno ikabidi mama atoke namimi nikamfata aisee niliona huyo mke anamvuta pumbu mumewe katoka naye ndani kazishikilia anavuta aisee yule baba alivolia na kuomba msamaha aachiwe, ndiyo nakumbuka kwamba huenda kweli zinauma sana. Mimi siwezi kuumiza mali ambazo tunatumia wote, nahisi tunaumiza watoto Mungu aliowahifadhi humo .
Ila muache jeuri sasa
Hilo janaume ni f@la na lof@ kuwahi kutokea.! Kwa nini msingeliongezea mkong'oto? Nimechukia eti mlimsaidia, kwa nini? Majitu kama hayo ni ya kuyaongeza kipigo tu.!
 
Hilo janaume ni f@la na lof@ kuwahi kutokea.! Kwa nini msingeliongezea mkong'oto? Nimechukia eti mlimsaidia, kwa nini? Majitu kama hayo ni ya kuyaongeza kipigo tu.!
Kwanini? Kwamba angeweza kujitoa asishikwe ? What if ndiyo alikua amemkamata sana anamminya angewezaje kujitoa kwa muda huo?
 
Hilo janaume ni f@la na lof@ kuwahi kutokea.! Kwa nini msingeliongezea mkong'oto? Nimechukia eti mlimsaidia, kwa nini? Majitu kama hayo ni ya kuyaongeza kipigo tu.!

Ng'ombe akifugwa kamba puani hua hafurukuti. Maana kufurukuta ni kujiumiza bro. We unarelax anakuachia... Afu ndo unaanza kutembeza kichapo
 
Ng'ombe akifugwa kamba puani hua hafurukuti. Maana kufurukuta ni kujiumiza bro. We unarelax anakuachia... Afu ndo unaanza kutembeza kichapo
Je akiwa na lengo la kukuua? Kwa hiyo asipoamua kuachia means umekufa si ndio?! Hilo litazamwe upya, je, ikitokea kwa viongozi tegemezi wakitumiwa makahaba na kuwabinya huko? Kwa hiyo watakufa na hii itatumika kisiasa si ndio?! Linahitajika jicho la 3 kwenye hili.!
 
Tena kama ndiyo wewe nakumudu nakubinyaaa nakimbia, nikirudi hasira zimeishaa😂😂
😂 Nyawawa wewe kwa akili zako unafikiri mi boya tu ya kwamba unashika tu! Ntakuruhusu ushike ikiwa umesaula nguo zako zote Sasa utachagua ubinye ukimbie uchi au utulize mamikono yako tuinjoi keki ya asili..😅
 
Je akiwa na lengo la kukuua? Kwa hiyo asipoamua kuachia means umekufa si ndio?! Hilo litazamwe upya, je, ikitokea kwa viongozi tegemezi wakitumiwa makahaba na kuwabinya huko? Kwa hiyo watakufa na hii itatumika kisiasa si ndio?! Linahitajika jicho la 3 kwenye hili.!
Ohooo.. Tunahama sana
 
Ndio kama kichwa kinavyojieleza,

Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?!

Hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo?! Be honesty and tell honestly!
Kabla sijacomment kwanza elezea ilikuwaje mpaka akafika uko?
 
Mkuu kwani wewe ulifanyaje🐒🤣👇

Halafu mapumbu yapo delicate, kama glass na ndiyo maana yamefichwa hayapo mgongo wala sehemu ambayo yanaweza kuumia kirahisi. Mtu akaziminya unaweza shangaa mzee mzima na ndevu ukalia kwa sauti ya kwanza.

mkuu umeongea kwa uchungu sana
Mpaka nikamkumbuka yule mwalimu wako aliekufundisha kula kimasihara
 
Angepiga ngumi ya maana ya pua lazima angeachiwa Tu...btw alikuwa uchi mpaka kashikwa huko kirahisi?
Hizi ngumi huwa zinaua. Kuweni makini mnapotoa adhabu za namna hiyo kwani wengi wanaozea jela sasa kwa maamuzi yasiyo makini.
 
Amekuminya kwa nguvu, dhamira ni kukufanya usimsahau.!
Mapenzi tuyaache tu, kuna mtu alimsamehe mkewe aliyemwekea sumu kwenye msosi.
Baada ya kupona kaenda kummwomba mkewe arudi nyumbani lakini mwanamke akaogopa , haamini kama amesamehewa.
 
mkuu umeongea kwa uchungu sana
Mpaka nikamkumbuka yule mwalimu wako aliekufundisha kula kimasihara
Hahaha... Aisee mkuu umejua kunichekesha. On a serious note ungekuwa mwanaume ungeelewa kwamba ile ni sehemu ambayo inatakiwa ilindwe at all cost. Unaweza shangaa mtu akakuhasi mchana kweupe. Hahah...
 
Back
Top Bottom