Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende?

Tushajua sasa, wale vidume mnajifanya mna nguvu sana za kupiga wanawake na za kutafuta pesa hamna hii ndio dawa yenu. Ni kuziminya sawasawa halafu unachomoka speed ya light.
Usije ukajaribu utapigwa ufe Unajua ni shida gani tunapata kutembea nazo mda wote , mimi atakae jaribu kuchezea mali inayotunza heshima ya Uvulana wangu nitakula nae sahani moja.
 
Usije ukajaribu utapigwa ufe Unajua ni shida gani tunapata kutembea nazo mda wote , mimi atakae jaribu kuchezea mali inayotunza heshima ya Uvulana wangu nitakula nae sahani moja.
Basi tulindiane heshima wote ila ukokosa adabu ni zinaminywa vizuri tu.
 
Back
Top Bottom