Unaweza kumdharau mtu mwenye elimu ndogo lakini vipi kuhusu mwenye PhD na hajui hata maana ya VAT?

Kutoa elimu bure ni kuuwa chama

Kuzuia machinga na mama ntilie wasinyanyaswe ni kuuwa chama

Kuzuia umeme usipande bei ni kuuwa chama

Kuzuia nauli ya mabasi ya mwendokasi yasipande bei ni kuuwa chama

Kununua ndege ili kuinua utalii ni kuuwa chama
 
Sasa hiki ulichoandika hapa ni nini? Kama huna mada si unakaa kimya tu ndugu yangu?

Kwani ikipita siku bila kuanzisha mada utafukuzwa hapo ufipa!
 
WaTanzania waliowengi haswa wanaoitwa wasomi huwa wanaleta madharau sana kwa watu wasio na Elimu bila kufikiri kipi kimemufanya Mtu huyo kukosa Elimu au kutokupata ELIMU.


Lakini nani kakwambia Mtu aliye na PHD anafahamu kilakitu/kilajambo..?
 
Sasa hiki ulichoandika hapa ni nini? Kama huna mada si unakaa kimya tu ndugu yangu?

Kwani ikipita siku bila kuanzisha mada utafukuzwa hapo ufipa!
Mnapo-comment kwa dharau kuhusu elimu za watu kwenye mada zisizohusiana na elimu ya mtu huwa mnawaza nini au ndio mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu?
 
Waziri wa Kenya akamdanganya weka VAT kwenye Tourism, na yeye akaweka

Mwenzake wa Kenya akaenda kutoa

Hili ni Goal la mkono Kenya wameshatufunga kwenye utalii

acheni propaganda kuwa watalii wameongezeka

Pesa iko wapi sasa kama watalii wameongezeka? Mbona Shs imedoda zaidi
 
WaTanzania waliowengi haswa wanaoitwa wasomi huwa wanaleta madharau sana kwa watu wasio na Elimu bila kufikiri kipi kimemufanya Mtu huyo kukosa Elimu au kutokupata ELIMU.


Lakini nani kakwambia Mtu aliye na PHD anafahamu kilakitu/kilajambo..?

Hujui kinachoendelea ndio maana umehoji hilo swali ila wanaojua wamenielewa.
 
Ajue VAT kwani amesomea mambo ya kodi ???
Eti aijue sheria kwani yeye ni mwanasheria. ...ajue kua uchumi umekua kwani yeye ni mwanauchumi....ajue kua viwanda vinajengwa kwani yeye ni injinia...anunue ndege kwani yeye ni rubani. .
 
Huwezi kumwelewa mleta hoja kama umeshalishwa unga wa ndele.Mimi namuunga mkono mleta hoja kwani alieleta bajeti inayosema benk na kampuni za simu zitozwe vat ni Dr Mpango.pia waliopitisha na kuunga mkono vat ktk benk na simu ni wabunge wa ccm ambao miongoni mwao wamo phd kibao.Lakini baada ya sisi wananchi tusiokuwa na phd kulalamika kuwa hiyo vat itatuumiza sisi watumiaji walalahoi ,dr mpango alitoa ufafanuzi kuwa vat hii watailipa benk na kampuni za simu siyo watumiaji wa mwisho kinyume kabisa dhana halisi ya vat,.Baada ya muda ndio kama ulivyosikia tunakamuliwa vat kwenye miamala ya simu na benk.Hivyo phd mzima hajui maana ya vat, kwa mpango huu wasomi phd wa tanzania ni shida bini vihiyo
 
VAT maana yake inategemea umesimama pembe ipi. Mfano VAT yaweza kuwa
1.Vumilia Ainyooshe Tanzania
2.Vyama Asidi Tuondoleeni
3.Value Added Tax
4.Vuta Asubuhi Tule
Watu wa PhD wana majibu kibao kama hauta weka mipaka ya aina ya jibu unalohitaji.
 
Back
Top Bottom