Unaweza kumaliza form 4 na miaka 15?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
1610970268227.png

Justina Gerald (15) of Canossa High School on Thursday January 15, claimed a position of the best Girl in the 2020 Form Four exam, a position she held four years ago when she sat for her Standard Seven exams.

And just like four years ago, apart from being the Best girl she was the second overall and the best in her school. She attributes her success to putting God first in her studies and in almost everything she does.

"First and foremost, was put God first in everything, it is also to setting clear and achievable goals and make sure I implement them, but beside I also worked closely with my classmates and teachers and parents," says the 15-year-old Justina.

Justina is setting her sight on becoming an engeneer with her target being the oil and gas industry because she believes it is an area where Tanzania and East Africa in general is yet to exploit.

“I want to be an engineer because for a developing nation like Tanzania we still need such professionals to grow our economy,” Justina says with enthusiasm

Her guardian, Ibrahim Bakari say that Justina began showing early signs of success as young girl when she was at Tusiime Primary School in Tabata, Dar es Salaam.

“She was the best girl at the Standard Seven exams and the third nationally. Even during her graduation she was on top of her class after scoring exceptionally in most subjects,” says Mr Bakari.

He adds: She is a kid who always loved reading on her own and because she has always been in boarding school she knows how manage her time,” says Bakari who is Justina’s step-father.
 
Ina maana alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka Mitano na kumaliza Darasa la Saba akiwa na umri wa miaka 11!!
 
Mkuu we ni wa wapi? Darasa la kwanza miaka 5 - Saba miaka 11 - Form one 12 hadi form four 15

Kitu cha kawaida kabisa hiki - darasa la kwanza 5 years !! kama kichwa kiko vizuri mbona safi tu
 
Kwa kizazi cha sasa inawezekana kabisa, wapo wengi tu wanamaliza kidato cha nne kabla hawajafikisha miaka 16. Kwa sababu watoto wanasoma chekechea kwa miaka miwili wakiwa na miaka 3 na 4, ikionekana wanamudu masomo darasani wakifika umri wa miaka 5 wanaanza darasa la kwanza hapo inamaanisha miaka 15 kidato cha 4.
 
Ni kawaida, kuna watoto wengi wanaoanza darasa la kwanza kigezo kikubwa ni lazima mtoto awe na uelewa na pia aweza kujitegemea.
 
Mkuu we ni wa wapi? Darasa la kwanza miaka 5 - Saba miaka 11 - Form one 12 hadi form four 15

Kitu cha kawaida kabisa hiki - darasa la kwanza 5 years !! kama kichwa kiko vizuri mbona safi tu
Wazazi wengi wanaosomesha private hupeleka watoto la kwanza wakiwa na miaka mitano ni shule za serikali tu ndio hupokea mtoto akifika miaka saba. Mleta mada nadhani anawaza shule za serikali, kwa shule za serikali haiwezekani

Halafu anashanga huyo kuna wengine wakimaliza private darasa la tano au la sita huwa hawasubiri kumaliza darasa la saba huenda moja kwa moja form one wako wengi tu wanaomaliza form four na miaka 14 siyo 15
 
Kuna mmoja anamaliza mwaka huu ana miaka 14 alivushwa darasa primary
Yes wako wa kuvusha hasa shule za msingi za private.Unakuta wengine wanaruka darasa hasa la pili na la tano/.Mtoto anasoma la kwanza halafu anarushwa la latu .Akisoma la tatu na la nne anarushwa hadi la sita .Anamalizia la sita na la saba kisha huyo form one
 
Back
Top Bottom