Unaweza kukaa siku ngapi bila kuwaza kifo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,551
44,707
Endapo hujakutana na taarifa ya kifo unaweza kukaa siku ngapi usikifikirie kwa namna yoyote hii ishu inayoitwa kifo.mimi hazipiti siku mbili nijitazame na kujiambia hivi Kuna sekunde na dakika na siku inakuja ndo napotea kweli na kwenda kusikojulikana.

Ila ikifika weekend nyingi siku zote mbili huwa mawazo ya kufa yanapotea nakula maisha ikifika jumanne kuelekea jumatano ka hofu kanakuja cha kifo.

Wakuu huu msala ni mzito msifikiri kustop heart beat na kuacha kabisa kula wali maharage ni jambo zuri.
 
Kitu kizuri ni kuwa hamna atakayebaki... Relax mzee kumbuka kuishi maisha
Wewe at least Ni mzee wa kale kabisa inaonekana umeshiba siku Ni mzee..ila me kinachonishangaza wazungu hawafi Sana yaani bongo Hapa majanga mengi unaweza ukashangaa unakufa unawaacha kina Trump,bush,Obama,jay z,Snoop dog,Mr bean,batista,e.t.c
 
Ukiwaza kuhusu kifo, unakuja kutambua haya maisha muda mwingine hayana maana kabisa.

Kila nikiwaza kifo, jambo linalokuja kichwani ni ku enjoy kila moment..

Kama una kipato kula bata sana as if unakufa kesho, Kama Kuna starehe nyingine ifanye kwa hali ya juu mno ila iwe ya kumpendeza M/mungu

#huwa nawaza kifo mala nyingi sana,
 
Dunia uwanja wa vita
Kuna mwanaisimu na fasihi anaitwa Euphrais kezilahabi, ana nadharia inaitwa udhanaishi inayoamin maisha hayana maana
 
Mie hofu unijaaga mpaka kuna siku niliumwa nilitoa wosia ila sijafa nipo .q nikiwaza sana hili atapunzi uanza kunibana mpaka mawazo yanitoke ndio napumua vizuri wakati huo sizisikilizii

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Endapo hujakutana na taarifa ya kifo unaweza kukaa siku ngapi usikifikirie kwa namna yoyote hii ishu inayoitwa kifo.mimi hazipiti siku mbili nijitazame na kujiambia hivi Kuna sekunde na dakika na siku inakuja ndo napotea kweli na kwenda kusikojulikana..Ila ikifika weekend nyingi siku zote mbili huwa mawazo ya kufa yanapotea nakula maisha ikifika jumanne kuelekea jumatano ka hofu kanakuja Cha kifo.wakuu huu msala Ni mzito msifikiri kustop heart beat na kuacha kabisa kula wali maharage Ni Jambo zuri.
Afu unaweza kukuta tulishakufa na hapa tulipo ndio ahera...

Au unaweza kukuta hii dunia ni bonge la mnyama, na sisi ndio minyoo tuko tumboni mwake. Siku akimeza dawa ya minyoo tunadedi afu anaenda kutukunya tunaishia kwenye mavi...
 
Endapo hujakutana na taarifa ya kifo unaweza kukaa siku ngapi usikifikirie kwa namna yoyote hii ishu inayoitwa kifo.mimi hazipiti siku mbili nijitazame na kujiambia hivi Kuna sekunde na dakika na siku inakuja ndo napotea kweli na kwenda kusikojulikana..Ila ikifika weekend nyingi siku zote mbili huwa mawazo ya kufa yanapotea nakula maisha ikifika jumanne kuelekea jumatano ka hofu kanakuja Cha kifo.wakuu huu msala Ni mzito msifikiri kustop heart beat na kuacha kabisa kula wali maharage Ni Jambo zuri.
Ata wki namaliza
 
Sijui wengine, hata siwazagi, naogopa kufiwa tu japo still sio kivile.
Heri siku ya kufa kuliko kuzaliwa... sasa tumezaliwa tu tunakula bata, ukifa si ndio raha zaidi, tunawaonea huruma Watoto tu sio wengineo, sio wazazi maana tupo nane hivi home, mke ataolewaga huko nikifa, issue ni wakina junya tu
 
Dunia uwanja wa vita
Kuna mwanaisimu na fasihi anaitwa Euphrais kezilahabi, ana nadharia inaitwa udhanaishi inayoamin maisha hayana maana
Napenda sana mada kama hizi.

Mkuu hebu tujadili hii ya maisha kutokuwa na maana

Jamaa alikusudia nnini kusema hivyo ?
 
Back
Top Bottom