Unaweza kuchaji simu yako kwa dakika kumi tu ndani ya microwave oven

Status
Not open for further replies.
duh! Kweli inafanya kazi ila ukitumia dakika 15. Nimejaribu ila tatizo simu imekuwa ya moto mno. Nataka kujaribu kuiweka kwenye barafu nione kama chaji itaisha mapema.
 
Nani alijua hili?. Unaweza kuchaji simu yako ilyoishiwa chaji kabisa kwa muda wa dakika kumi tu. Chakufanya, chukua simu yako iweke ndani ya microwave oven, set joto nyuzi 100, seti muda dakika kumi, then start the oven. Baada ya dakika kumi itoe simu yako utaona iko full charged. Jaribu sasa.

Unahatari sana wewe hii si utani naona umetumwa kuua watu, mwambie alikyekutuma ashindwe na alegeee
 
MOD ;; Tafadhali usiruhusu upuuzi kama huu . Kuna wengine akili zao za kushikiwa.
Nani alijua hili?. Unaweza kuchaji simu yako ilyoishiwa chaji kabisa kwa muda wa dakika kumi tu. Chakufanya, chukua simu yako iweke ndani ya microwave oven, set joto nyuzi 100, seti muda dakika kumi, then start the oven. Baada ya dakika kumi itoe simu yako utaona iko full charged. Jaribu sasa.
 
Nani alijua hili?. Unaweza kuchaji simu yako ilyoishiwa chaji kabisa kwa muda wa dakika kumi tu. Chakufanya, chukua simu yako iweke ndani ya microwave oven, set joto nyuzi 100, seti muda dakika kumi, then start the oven. Baada ya dakika kumi itoe simu yako utaona iko full charged. Jaribu sasa.
Hi iam KIPIPILI from WWE ENTERTAINMENT and this is my very important sms 2 all my fans "NEVER TRY TO COPY WHAT I DO,EITHER AT HOME OR AT SCHOOL STAY SAFE DONT TRY THIS"
 
Watu wengine bwana mmepitiliza,wakati unaambiwa betri yako isikae kwenye joto lilozaidi ya nyuzi joto 30 wewe unaweka mia!!!
1:Lcd itaungua
2:cover utakuta zimepinda
3:USIJARIBU KUFANYA HIVYO KWANI HUU NIUPOTOSHA WA MAKUSUDI,MODS HIIZI NDIZO THREAD ZA KUFUTA.

Mkuu umekuwa mkali sana,Siunachek thread yenyewe ipo kwenye jokes, so think pipo huku wont tek diz matter serious kiongoz.
 
JF ni kwa ajiri ya kusaidia na kuelemisha jamii sio kupotosha namna hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom