Unaweza kuanzisha uhusino kwenye mitandao ya kijamii?


Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
6,773
Likes
30
Points
135
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
6,773 30 135
Wana JF.
Uhusiano wa kimapenzi ndio ambao huzaa ndoa baadae.

Lakini vijana wengi sana wamekuwa hawajui ni sehemu gani sahihi ya kumpata mweza wa kweli.

Hili limekuwa ni swali gumu ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza pasipo kupata majibu. Kutokana na utandawazi uliyopo hivi sasa, pamoja na matumizi yasio sahihi ya utandawazi yanafanywa hivi sasa.

Wengi wamejikuta wakipata wenza wasio sahihi na wapo waliopata wenza sahihi kupitia mitandao ya kijamii, hivi ni sahihi kuanzisha uhusiano na mtu uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii?
Wadau tujadili hii
 
the grate

the grate

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Messages
205
Likes
0
Points
0
the grate

the grate

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2011
205 0 0
usahihi wake unategemea na jinsi ulivyojipanga katika kumtafuta huyo mwenza, lazima kuwe na muda wa kujuana kabla ya kutangaza ndoa
 
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
646
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 646 280
Ni sahihi ingawa unahitaji kuwa makini zaidi.
 
JICHO LA 3

JICHO LA 3

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
357
Likes
0
Points
0
JICHO LA 3

JICHO LA 3

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
357 0 0
mh?sijui mwaya,
labda walofanikiwa kupata wenza kupitia mitandaoni waje hapa watuambie.
 
S

shosti

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
4,948
Likes
34
Points
145
S

shosti

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
4,948 34 145
mpaka unatafuta wenza mitandaoni...lazma huto mtu ana matatizo fulani!
 
Roulette

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Messages
5,614
Likes
29
Points
0
Roulette

Roulette

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2010
5,614 29 0
Sio sahihi. Ni njia nzuri ya kukutana na watu na unapoona kuna mtu mna interest zinazo fanana then mnapelekana kwenye njia za kawaida (dates etc) alafu ambazo ni njia pekee ya kujua kama mnamatch.
 
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
9,909
Likes
1,472
Points
280
Washawasha

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
9,909 1,472 280
mpaka unatafuta wenza mitandaoni...lazma huto mtu ana matatizo fulani!
Hahaha hakuna matatizo ktk hilo,basi hao wanaojifanya wanamjua sana Mungu kwa kuzuga wanakwenda misikiti/makanisani ndio wana siri za ajabu ajabu ndio maana wanakimbilia ktk nyumba za ibada kuficha machafu yao. Da Shosti mtu akikutokea toka naye.
 
S

shosti

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
4,948
Likes
34
Points
145
S

shosti

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
4,948 34 145
Hahaha hakuna matatizo ktk hilo,basi hao wanaojifanya wanamjua sana Mungu kwa kuzuga wanakwenda misikiti/makanisani ndio wana siri za ajabu ajabu ndio maana wanakimbilia ktk nyumba za ibada kuficha machafu yao. Da Shosti mtu akikutokea toka naye.
mhhhh kazi wanayo...mie nshawahiwa uzuri wenyewe
 
eyetyna

eyetyna

Senior Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
148
Likes
4
Points
35
eyetyna

eyetyna

Senior Member
Joined Jun 24, 2011
148 4 35
i think mwenza anweza patikana popote pale ,nategemeana na watu wenyewe wapo serious kwa kiasi ganai wanweza kukutana hata vichochoroni na wakawa wanamaanisha kuwa pamoja na wanaweza kukutan hat makanisan au misikitin na wasiwe serious kwenye mahusiano hayo.
Sopopote pale mahusinano yanaweza kuanzisha no matter wat............
 
S

shosti

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
4,948
Likes
34
Points
145
S

shosti

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
4,948 34 145
ina maana we hujui hata hapa jf kuna ndoa zinafungwa?
umbea wote huo na unapitwa na news????/lol
hahahahahhaahah hilo jina jipya ulilonibatiza kazi ipo...sikuwa najua jamani kumbeeenhe!
 
BPM

BPM

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,763
Likes
17
Points
135
BPM

BPM

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,763 17 135
kuna sehemu nyingi sana watu hukutana na kuanzisha mahusiano zamani watu walikutana disco, kanisani , kwenye sherehe mbalimbali etc lakini kwa sasa kuna mitandao ya kijamii kama facebook, etc..
kwa sasa mapenzi mengi huanzishwa kwa msukumo wa kingono zaidi kuliko uhalisia ndo maana wengi wao hawadumu au hawana fursa ya kufahamiana zaidi au kuelewana
 
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
10,752
Likes
46
Points
0
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
10,752 46 0
Sidhani ka kuna ubaya, vilevile inategemea na userious wa watu wenyewe!
 
sunshine1

sunshine1

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Messages
524
Likes
92
Points
45
sunshine1

sunshine1

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2011
524 92 45
Mimi nadhani uhusiano unaweza kuanza kwa wawili hao kukutana popote iwe kanisani, msikitini, mtandaoni nk. Sababu hata kama mkikutana kanisani haimaanishi ndiyo mtakuwa mmefahamiana in and out kwa siku hiyo. Muhimu ni kupeana muda wakufahamiana na kuona kama mna make good chemistry. Mitandaoni wapo watu wa aina zote ambao ni hao hao tunaopishana nao mijini, kwenye mikusanyiko, maofisini, kwenye nyumba za ibada nk. Tatizo watu wengi hasa wanaume wakishaanza kuwasiliana tu na msichana within one week wanapanga appointment zakwenda guest hapo possibility yakuangukia pua ni kubwa. Kwahiyo Chatu dume kama umempata wa mtandaoni take time to know her and see if at all she is the woman of your dream. Good luckyWana JF.
Uhusiano wa kimapenzi ndio ambao huzaa ndoa baadae.

Lakini vijana wengi sana wamekuwa hawajui ni sehemu gani sahihi ya kumpata mweza wa kweli.

Hili limekuwa ni swali gumu ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza pasipo kupata majibu. Kutokana na utandawazi uliyopo hivi sasa, pamoja na matumizi yasio sahihi ya utandawazi yanafanywa hivi sasa.

Wengi wamejikuta wakipata wenza wasio sahihi na wapo waliopata wenza sahihi kupitia mitandao ya kijamii, hivi ni sahihi kuanzisha uhusiano na mtu uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii?
Wadau tujadili hii
 
K

Kubingwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Messages
502
Likes
3
Points
35
K

Kubingwa

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2010
502 3 35
Eti kwa nini usiweke sura yako ama kitu kingine,unaweka sura ya mtu inakuwaje,hasa huyo Denzel Washington.
 

Forum statistics

Threads 1,235,316
Members 474,525
Posts 29,218,240