Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,137
21,274
Habari wakuu

Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.

Naomba kujua na ni kwa namna gani
 
Hao jamaa nao ni longolongo sana, nenda dirishani aisee, taarifa nzuri unayoweza kuta ni kuwa mara ya mwisho michango yako kuingizwa ni 2016, na wala hawana habari wenyewe kuwa ni jukumu lao kumwamuru mwajiri kupeleka michango hiyo.

Ukienda kwa mwajiri, anathibitisha kuwa hakuna mwezi alioruka, kisha NSSF wanakupa fomu umpelekee mwajiri aijaze kuthibitisha hilo, halafu wao wana effect pesa zako kwenye akaunti.

Ukiuliza zaidi, wanakwambia pesa ilikuwa inainhia kwenye Pool account, sasa unashangaa, una account number, na umechangia kwa miaka mingi tu, imekuaje sasa ianze ghafla kuingia kwingine?

Unatabasamu au moyoni unasema hiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Hivi ni namna gani unaweza kuangalia Kama mwajiri wako anaweka hela nssf kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.

Naomba kujua na ni kwa namna gani
Huduma Ipo Mkuu,ingia Play Store Download App Yao Utajisajiri Kwa Kuingiza Namba Ya Uanachama Then Utaingia Humo Na Kuona Michango Yako Na Kiasi Cha Pesa Pia Utaona Michango Hata Ya Miaka Kumi Nyuma Kama Uliwahi Kuchangia
 
Hao jamaa nao ni longolongo sana, nenda dirishani aisee, taarifa nzuri unayoweza kuta ni kuwa mara ya mwisho michango yako kuingizwa ni 2016, na wala hawana habari wenyewe kuwa ni jukumu lao kumwamuru mwajiri kupeleka michango hiyo.

Ukienda kwa mwajiri, anathibitisha kuwa hakuna mwezi alioruka, kisha NSSF wanakupa fomu umpelekee mwajiri aijaze kuthibitisha hilo, halafu wao wana effect pesa zako kwenye akaunti.

Ukiuliza zaidi, wanakwambia pesa ilikuwa inainhia kwenye Pool account, sasa unashangaa, una account number, na umechangia kwa miaka mingi tu, imekuaje sasa ianze ghafla kuingia kwingine?

Unatabasamu au moyoni unasema hiiiiiiiiiiiiiiii.
Inawezekana mwajiri anatuma michango bila kuainisha kiasi hiki ni kwa mtu a,b,c,d
 
Hahaaaaa hii serikali ni ya kichovu sanaa
 
Huduma Ipo Mkuu,ingia Play Store Download App Yao Utajisajiri Kwa Kutumia Namba Ya Uanachama Itafunguka Utaweza Kuona Michango Yako Na Kiasi Cha Pesa,mimi Natumia Yao Iko Vizuri
 
Habari wakuu

Hivi ni namna gani unaweza kuangalia Kama mwajiri wako anaweka hela nssf kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.

Naomba kujua na ni kwa namna gani
Mimi pia nilikuwa na shida kama yako ila kuna jamaa yangu alinirushia kipeperushi na sasa naweza ona taarifa zangu hii inaweza kukusaidia wewe na wadau wengine,kikubwa namba yako uliyojisajilia NSSF iwe active.

Na urahisi zaidi ni kwa njia ya whatsapp unasave namba hii na u save kama NSSF Taarifa 0769601803 baada ya hapo re-start simu yako kisha nenda whatsapp angalia hiyo namba na andika neno Habari kisha ngoja maelekezo.
IMG-20210809-WA0002.jpg
 
Mimi walinielekeza kuangalia kwa njia ya sms natuma neno NSSF SALIO kisha naandika namba yangu wa uwanachama natuma kwenda namba 15200.
Njia hii wanakata shilingi 100 kwa kila ujumbe (sms) utakaotuma.
Au sio reliable?
 
Inawezekana mwajiri anatuma michango bila kuainisha kiasi hiki ni kwa mtu a,b,c,d
Sawa kaka, ila ndo miaka 4 yote? Wao wanafanya kazi gani wanapoona wanapokea pesa kutoka kwa mwajiri isiyo na maelezo? Kwanini iwe rahisi kuiweka kwenye kapu la jumla kwa miaka 4 halafu washindwe kumuhoji mwajiri
 
Hapo kweli kuna shida mahali, kuna watu hawafanyi kazi yao inavyotakiwa.
 
Mimi walinielekeza kuangalia kwa njia ya sms natuma neno NSSF SALIO kisha naandika namba yangu wa uwanachama natuma kwenda namba 15200.
Njia hii wanakata shilingi 100 kwa kila ujumbe (sms) utakaotuma.
Au sio reliable?
Umepotea...ukiniona barabarani si unaweza kunisahau ukanipita? Hope you are okay.
 
Mimi walinielekeza kuangalia kwa njia ya sms natuma neno NSSF SALIO kisha naandika namba yangu wa uwanachama natuma kwenda namba 15200.
Njia hii wanakata shilingi 100 kwa kila ujumbe (sms) utakaotuma.
Au sio reliable?
Hivi hii inafanya kazi? Maana nishapiga mpaka simu wakasema watabadili baadhi ya details ili ifanye kazi, ila.vi-100 100 vinachukuliwa tu.
 
Habari wakuu

Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.

Naomba kujua na ni kwa namna gani
Ndio njia zote zipo, unaweza download App ya Nssf au kwenye Website yao ingia kwenye "member portal"
 
Huduma Ipo Mkuu,ingia Play Store Download App Yao Utajisajiri Kwa Kutumia Namba Ya Uanachama Itafunguka Utaweza Kuona Michango Yako Na Kiasi Cha Pesa,mimi Natumia Yao Iko Vizuri
Eti mchango wangu wa mwisho ulipelekwa mwaka 2020 mwezi wa nane,wakati bado nipo hapahapa kampuni toka mwaka 2011,kuna michango ya miaka miwili tu,2019 na2020 hiyo mingine iko wapi?
 
Back
Top Bottom