UNAWEZA KUAJIRIWA UKIWA NA VIGEZO PUNGUFU YA WALIVYOHITAJI?? NA INATOKEAJE.

Kaka horrace

Member
Aug 2, 2018
21
4
JF family nawasalimu.

Kumradhi jamani kuna kajambo hapa tusaidiane mawazo....

Mara nyingi zinapotangazwa kazi sekta zote wanatoa na vigezo wanavyotaka muombaji awe navyo.

Mfano ulitaka kuomba kazi ya uhadhiri msaidizi wa chuo...vyuo vingi vya umma watataka aidha uwe na G.P.A 3.5/3.8 upande wa shahada ya kwanza na kuendelea na pengine upande wa shahada ya pili watataka G.P.A kuanzia 4.0 na kuendelea.

Swali langu.inaweza tokea ukawa na mfano G.P.A 3.4 shahada ya kwanza na 4.0 shahada ya pili ukachaguliwa?? (Ndio nilizonazo Mimi)...ni BA/MA sio sayansi.

karibu ni kwa mawazo.
 
Kama unajuana nao sawa
 
Ukiulizwa kwamba ushawahi kubet huwa mnakataa,,, haya sasa kabet uone kama uta win or lose
 
Back
Top Bottom