Unawapenda Wazazi? Soma Ujumbe Huu

Mmmhhh naomba uishie hapo Mpwa, tumewatenda wazazi wetu mambo makubwa sana kila wakati tukipata muda twende tukakae nao, tuongee nao maana ndio faraja yao kubwa
Elli kila nikijitafakari naweza kusema am the last person ambaye bado sijaweza hata kuexpress robo ya upendo wa wazazi wangu kwao. huwaga nikitafakari najisemeaga wazi kwamba walikuwa ni wazazi wazuri kuliko mtu yyte yule duniani na sijui kama nitaweza kuonyesha japo robo ya upendo wao.

baada ya kusoma huu uzi nimejikuta namsimulia kisa kimoja kilinitokea miaka ya 91 hivi nilitorokaga home nikaenda disco mjini. asbh wakati narudi baba akawa mkali sana na aliumia sana nafsini akasema jamani toka leo nanawa mikono juu ya mwanagu A. sitak niambiwe kitu chochote kile juu yake akaomba maji kabisa kama pilato alivyoomba akanawa wakati ananawa mm kwakua nilikuwa nimekunywa mapombe yangu huko disco akili haikuwamo kabisa nikaenda nikamletea sabuani nikamwambia baba nawa na sabuni kabisa hivi hivi hautakati..............try to imagine nilikuwa sina adabu kiasi gani. baba alinitizama na mama hawakusema neno wakaondoka.

cha ajabu iyo siku jion wakaja kututoa out familia nzima incluiding mm mkosa adabu, na hawakukumbusha tena kile kisa, mwaka 1997 niliugua sana baba yangu mzazi na mama walikuwa wanalala na mimi ili kupokezana masaa ya kunipa dawa na kuwa na uangalizi na siku nilipolazwa hosp baba yangu alilala na mimi kunikalizia ili mama arudi kupumzika. ndipo baba yangu akaniambia mwanangu ile sabuni uliyosema ninawe nayo ili niwe msafi nigenawia leo hii nani angelala na wee hapa hosp zaid ya sisi wazazi wako?? je ulidhan kwamba umekua kiasi kwamba sisi kwako hatuna kazi tena?? ...................naomba nisiendee
 
Hahahaaaa tutawezana tu

ila kwa ufupi......thamani ya mzazi ni kubwa sana!!! yani mpwa Elli..........mpaka naona noma hapa ingawa naweka uso wa mbuzi lakini...............uhwa nasali tu kwa ajili yao! Nifanyeje sasa!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Mpwa, tunacheka ila in reality ni lazima tuwakumbuke wazazi wetu at any cost, hebu ona watu wa mujini, wanagonga mvinyo kwa kwenda mbele but at the same time hawajui hata wazazi wao wamekula nini au watakula nini jioni hio ambayo wao wanafaidi Nyama Choma na bia.........mmhhh

manake najiuliza hivi nta feel aje once namie nitakapokuwa "worn out" afu watoto wananitreat kama mtu tu yani...sijui unajisikiaje maskini!!! mhh
 
Nan kama mama na Baba dunian?hakika ni Mungu wa pili.Nawapenda sana baba na mama mimi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Elli kila nikijitafakari naweza kusema am the last person ambaye bado sijaweza hata kuexpress robo ya upendo wa wazazi wangu kwao. huwaga nikitafakari najisemeaga wazi kwamba walikuwa ni wazazi wazuri kuliko mtu yyte yule duniani na sijui kama nitaweza kuonyesha japo robo ya upendo wao.

baada ya kusoma huu uzi nimejikuta namsimulia kisa kimoja kilinitokea miaka ya 91 hivi nilitorokaga home nikaenda disco mjini. asbh wakati narudi baba akawa mkali sana na aliumia sana nafsini akasema jamani toka leo nanawa mikono juu ya mwanagu A. sitak niambiwe kitu chochote kile juu yake akaomba maji kabisa kama pilato alivyoomba akanawa wakati ananawa mm kwakua nilikuwa nimekunywa mapombe yangu huko disco akili haikuwamo kabisa nikaenda nikamletea sabuani nikamwambia baba nawa na sabuni kabisa hivi hivi hautakati..............try to imagine nilikuwa sina adabu kiasi gani. baba alinitizama na mama hawakusema neno wakaondoka.

cha ajabu iyo siku jion wakaja kututoa out familia nzima incluiding mm mkosa adabu, na hawakukumbusha tena kile kisa, mwaka 1997 niliugua sana baba yangu mzazi na mama walikuwa wanalala na mimi ili kupokezana masaa ya kunipa dawa na kuwa na uangalizi na siku nilipolazwa hosp baba yangu alilala na mimi kunikalizia ili mama arudi kupumzika. ndipo baba yangu akaniambia mwanangu ile sabuni uliyosema ninawe nayo ili niwe msafi nigenawia leo hii nani angelala na wee hapa hosp zaid ya sisi wazazi wako?? je ulidhan kwamba umekua kiasi kwamba sisi kwako hatuna kazi tena?? ...................naomba nisiendee

Dah NIMELIA.
 
Last edited by a moderator:
Nimelipenda sana Shairi hili, nimeona ni vyema niwashirikishe na Nyie pia. karibuni

To our dear child:

On the day when you see us old, weak and weary,
Have patience and try to understand us.

If we get dirty when eating,
If we can not dress on our own,

Please bear with us and remember the times
We spent feeding you and dressing you up.

If, when we speak to you,
We repeat the same things over and over again,
Do not interrupt us. Listen to us.

When you were small,
We had to read to you the same story
A thousand and one times until you went to sleep.

When we do not want to have a shower,
Neither shame nor scold us.

Remember when we had to chase you
With your thousand excuses to get you to the shower?

When you see our ignorance of new technologies,
Help us navigate our way through those world wide webs.

We taught you how to do so many things,
To eat the right foods, to dress appropriately,
To fight for your rights.

When at some moment we lose the memory
Or the thread of our conversation,

Let us have the necessary time to remember.
And if we can not, do not become nervous,

As the most important thing is not our conversation,
But surely to be with you and to have you listening to us.

If ever we do not feel like eating, do not force us.
We know well when we need to and when not to eat.

When our tired legs give way
And do not allow us to walk without a cane,

Lend us your hand. The same way we did
When you tried your first faltering steps.

And when someday we say to you,
That we do not want to live any more, that we want to die,
Do not get angry. Some day you will understand.

Try to understand that our age is not just lived but survived.

Some day you will realize that, despite our mistakes,
We always wanted the best for you
And we tried to prepare the way for you.

You must not feel sad, angry nor ashamed
For having us near you.

Instead, try to understand us and help us
Like we did when you were young.

Help us to walk.
Help us to live the rest of our life with love and dignity.

We will pay you with a smile and by the immense love
We have always had for you in our hearts.

We love you, child.

Mom and Dad

Source: Chipping blog

Asante sana Elii, this poem has made my half day today..
 
Dah NIMELIA.

nisamehe sana mpendwa wangu. by then nilikuwa nut sana yani i didn't know kuwa mzazi ilimanisha nini kwangu na niliona wawepo wasiwepo kwamba ni sawa ila sasa nilipougua nilijua kumbe they are more than just kuwaambia shkamoo na kuwapokea mizigo wakitoka kazini.
 
Back
Top Bottom