Unawapenda Wazazi? Soma Ujumbe Huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unawapenda Wazazi? Soma Ujumbe Huu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Elli, Mar 5, 2011.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Nimelipenda sana Shairi hili, nimeona ni vyema niwashirikishe na Nyie pia. karibuni

  To our dear child:

  On the day when you see us old, weak and weary,
  Have patience and try to understand us.

  If we get dirty when eating,
  If we can not dress on our own,

  Please bear with us and remember the times
  We spent feeding you and dressing you up.

  If, when we speak to you,
  We repeat the same things over and over again,
  Do not interrupt us. Listen to us.

  When you were small,
  We had to read to you the same story
  A thousand and one times until you went to sleep.

  When we do not want to have a shower,
  Neither shame nor scold us.

  Remember when we had to chase you
  With your thousand excuses to get you to the shower?

  When you see our ignorance of new technologies,
  Help us navigate our way through those world wide webs.

  We taught you how to do so many things,
  To eat the right foods, to dress appropriately,
  To fight for your rights.

  When at some moment we lose the memory
  Or the thread of our conversation,

  Let us have the necessary time to remember.
  And if we can not, do not become nervous,

  As the most important thing is not our conversation,
  But surely to be with you and to have you listening to us.

  If ever we do not feel like eating, do not force us.
  We know well when we need to and when not to eat.

  When our tired legs give way
  And do not allow us to walk without a cane,

  Lend us your hand. The same way we did
  When you tried your first faltering steps.

  And when someday we say to you,
  That we do not want to live any more, that we want to die,
  Do not get angry. Some day you will understand.

  Try to understand that our age is not just lived but survived.

  Some day you will realize that, despite our mistakes,
  We always wanted the best for you
  And we tried to prepare the way for you.

  You must not feel sad, angry nor ashamed
  For having us near you.

  Instead, try to understand us and help us
  Like we did when you were young.

  Help us to walk.
  Help us to live the rest of our life with love and dignity.

  We will pay you with a smile and by the immense love
  We have always had for you in our hearts.

  We love you, child.

  Mom and Dad

  Source: Chipping blog
   
 2. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah, this is too emotional.
  God help us be pride of our parents.Amen.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Amen Mpwa
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Elli umezingua, nimekuomba msaada juu ya ninachokisomea, umegoma kunipa details. Je, nikitafsiri hatua yako vibaya utanilaumu? Samahani wadau kwa kuharibu thread, nimelazimika kufanya hivi kwa kuwa Mjomba Elli hapatikani kirahisi, ila kwenye thread kama hivi.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Sorry Mpwa, samahani sana Mpwa, sina tena Mpwa mwingine kama wewe, tuwe tunakumbushana bana, muda mwingi hua nakuwa kwenye simu kaka, nisamehe bureeeeee, naamini umenielewa sana, kweli naomba msamaha, sijakuzingua kabisa, wenye tabia hio ni CCM peke yao...haya tukutane kule kule, tena sasa hivi.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Usijali mjomba, hata mimi huwa naingia JF kwa manati, si unajua natumia mobile afu vocha za manati, na serikali ya CHAMA CHA JEMBE NA NYUNDO ndo imegoma kuongeza hako ka alawansi. Ila hako kashairi kako hapo juu nimekapenda... Nakushauri ungefanya kazi kama ya J.K Nyerere(Mabepari wa Venisi, Julias Kaisari, Manifesto ya Chama cha Kikomunisti n.k) Mwanafasihi si unanielewa?
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma
   
 8. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wow thats wonderful.
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Wonderful indeed....
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. A

  Aine JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  i wish i could hear Elli's vocal in this poem, can you sing uncle!
  Thanks
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaaa Mpwa wangu, you want to hear me singing? mmmmh let me try Dear
   
 13. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2013
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mpwa asante kwa kapoem kazuuuri.......malenga wetu wa kingeredha!!!
   
 14. m

  mayenu Senior Member

  #14
  Jun 18, 2013
  Joined: Mar 26, 2013
  Messages: 166
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Oohh so touching...i love u momy with all the feelings in my heart.i will always honour and respect u as long as am alife.may GOd grant you many yrs.
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Kha, kama vile kuna kauchokodhi ndani yake eeeh
   
 16. d

  debito JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2013
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  dah! inagusa sana hii nakupenda sana mom mungu akujalie maisha marefu,nitakutunza na kukuthanini always
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2013
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ujumbe maridadi kabisa huu [​IMG] Elli!!!!
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2013
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Dah Elli,

  niliposoma hapa nimejikuta natokwa machozi, sijui ni kwann ila its all about what i cant tell because i dont know wht it is.
  hivi umewah kujiuliza what makes a little baby to know huyu ni baba na huyu ni mama?? think of a single day kid anapobebwa na mama kama alikuwa analia huwa anayamaza ingawa hata macho hajafungua lkn huwa akibebwa atajikumbatisha kwa mama yake as if ndio salama yake ilipo. kipi kinachomfanya awe hivi??

  na je kipi kinachomfanya mtoto amjua huyu ni baba?? kumbuka baba hamnyonyeshi na pengine hata kumbeba mara kwa mara lkn once a dad is inside utamuona anamfuata hata kwa macho tu na tabasamu............je kuna nini hapa??

  tukiweza kujibu haya maswali basi ni wazi kwamba wazazi wetu ni Mungu wa pili.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Mmmmmhh sasa mbona na wewe unaishia kutufanya tulie? Kuna email moja nilitumiwa, Ok siikumbuki vizuri ila nika ka-clip, Kijana amekaa na Baba yake (mzee) kwenye Graden. Kijana anasoma Novel, Babu akaona kitu kama ndege (offcourse alikua ndege) but akaendelea kumuuliza kila saa yule kijana kuwa kile ni nini? Yule Kijana akamjibu kama mara mbili au tatu hivi, alivyomuuliza tena tena, yule kijana akapandwa na hasira, akamjibu yule Babu kwa hasira kuwa yule ni ndege tu......What happened yule Mzee (Babu) akanyanyuka kimya kimya akaenda hadi ndani, akachukua Diary yake akaja nayo pale, akamsomea yule kijana kuwa tarehe kama hio miaka mingi iliyopita, yule kijana alipokua mtoto, aliuliza the same same things, lakini wazazi wake walirudia rudia kumjibu kila alipowauliza na hata siku moja hawajawahi kukasirika........Je ni mara ngapi sisi tunawa-treat wazazi wetu kama sisi ambavyo walitu-treat? Umeshawahi kujiuliza kuwa uhai wako ulikua mikononi mwao from the very beginning? Kama wangesema waitoe mimba yako, je leo ungekuepo? Tuishie hapo kwa leo
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2013
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Elli kila nikijitafakari naweza kusema am the last person ambaye bado sijaweza hata kuexpress robo ya upendo wa wazazi wangu kwao. huwaga nikitafakari najisemeaga wazi kwamba walikuwa ni wazazi wazuri kuliko mtu yyte yule duniani na sijui kama nitaweza kuonyesha japo robo ya upendo wao.

  baada ya kusoma huu uzi nimejikuta namsimulia kisa kimoja kilinitokea miaka ya 91 hivi nilitorokaga home nikaenda disco mjini. asbh wakati narudi baba akawa mkali sana na aliumia sana nafsini akasema jamani toka leo nanawa mikono juu ya mwanagu A. sitak niambiwe kitu chochote kile juu yake akaomba maji kabisa kama pilato alivyoomba akanawa wakati ananawa mm kwakua nilikuwa nimekunywa mapombe yangu huko disco akili haikuwamo kabisa nikaenda nikamletea sabuani nikamwambia baba nawa na sabuni kabisa hivi hivi hautakati..............try to imagine nilikuwa sina adabu kiasi gani. baba alinitizama na mama hawakusema neno wakaondoka.

  cha ajabu iyo siku jion wakaja kututoa out familia nzima incluiding mm mkosa adabu, na hawakukumbusha tena kile kisa, mwaka 1997 niliugua sana baba yangu mzazi na mama walikuwa wanalala na mimi ili kupokezana masaa ya kunipa dawa na kuwa na uangalizi na siku nilipolazwa hosp baba yangu alilala na mimi kunikalizia ili mama arudi kupumzika. ndipo baba yangu akaniambia mwanangu ile sabuni uliyosema ninawe nayo ili niwe msafi nigenawia leo hii nani angelala na wee hapa hosp zaid ya sisi wazazi wako?? je ulidhan kwamba umekua kiasi kwamba sisi kwako hatuna kazi tena?? ...................naomba nisiendee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...