unawakumbuka wacheza disco walisumbua enzi hizo?

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
Habari za jioni wana jamvi,naami ijumaa ya Leo ipo shwari.Leo nimeona tujikumbushe kidogo wacheza disco waliwahi kutamba sana enzi hizo kabla ya kuja hiki kizazi cha bongofleva na Si vibaya tukiwataja kwa majina ili kuwapa heshima...
1.BLACK MOSESS(RIP)
2.BOB KASSIM
3.BOSCO COOL J
4.KELLY JOHN
5.ALI BAUCHA
6.DIGA DIGA
7.KID FRASH(RIP)
8.MAX
haya mdau na wewe endelea....na Si vibaya ukataja hata ukumbi ulikokuwa unashuhudia baadhi ya mashindano ya hawa jamaa.
nawakilisha.
 
Habari za jioni wana
jamvi,naami ijumaa ya Leo ipo shwari.Leo nimeona tujikumbushe kidogo
wacheza disco waliwahi kutamba sana enzi hizo kabla ya kuja hiki kizazi
cha bongofleva na Si vibaya tukiwataja kwa majina ili kuwapa heshima...
1.BLACK MOSESS(RIP)
2.BOB KASSIM
3.BOSCO COOL J
4.KELLY JOHN
5.ALI BAUCHA
6.DIGA DIGA
7.KID FRASH(RIP)
8.MAX
haya mdau na wewe endelea....na Si vibaya ukataja hata ukumbi ulikokuwa
unashuhudia baadhi ya mashindano ya hawa jamaa.
nawakilisha.

Kikundi cha Black Foot work, Bob kali,Super Champion,Queen Lisalisa,
 
Rama best (kigoma)

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Home boys wa sinza members banza mchafu,jesca ongala,dogodogo kadoda na dancers wengine wa enzi hizo
Digadiga,dogodogo nyamwela,sammy cool,janet jackson R.I.P,
 
UMETAJA UNAO WAKUMBUKA TU LAKINI HAWA WAFUATANO HUJAWAWEKA NA NDIO WALIKUWA WAKALI
1 sammy cool
2 ommy sidney
3 sabba a jackson
4 jimmy to london
5 ommy junior
6 issac truck turner
7 sis phaby
 
Habari za jioni wana jamvi,naami ijumaa ya Leo ipo shwari.Leo nimeona tujikumbushe kidogo wacheza disco waliwahi kutamba sana enzi hizo kabla ya kuja hiki kizazi cha bongofleva na Si vibaya tukiwataja kwa majina ili kuwapa heshima...
1.BLACK MOSESS(RIP)
2.BOB KASSIM
3.BOSCO COOL J
4.KELLY JOHN
5.ALI BAUCHA
6.DIGA DIGA
7.KID FRASH(RIP)
8.MAX
haya mdau na wewe endelea....na Si vibaya ukataja hata ukumbi ulikokuwa unashuhudia baadhi ya mashindano ya hawa jamaa.
nawakilisha.
Mussa Simba a.k.a Black Mosess(RIP)~Huyu alikuwa Kiboko!.
 
Tito Jackson
Mwinyi Kito
Black Love Satana.
 
UMETAJA UNAO WAKUMBUKA TU LAKINI HAWA WAFUATANO HUJAWAWEKA NA NDIO WALIKUWA WAKALI
1 sammy cool
2 ommy sidney
3 sabba a jackson
4 jimmy to london
5 ommy junior
6 issac truck turner
7 sis phaby
Kweli mkuu ndio maana niliacha ili wote tuchangie ili mada iwe nzuri
 
Mussa Simba a.k.a Black Mosess(RIP)~Huyu alikuwa Kiboko!.

Yaani nikiwakumbukaga hawa jamaa simini kama dunia Ile ndio hii ya leo....baadhi ya hawa madansa walikuwa malafiki zangu sana...nilishawahi kuandaa show mmoja ambayo sitokuja kusahau katika maisha yangu ilifanyika RUAHA GALAXY KIMARA huyu black Moses alionyesha maajabu makubwa sana sidhani kama kuna kiumbe atakuja kumfikia huyu jamaa.....Dah! Huzuni sana
 
Super Convoy

Huyu jamaa walikuwa na jamaa yake mmoja hivi anaitwa athuman mitkas walikuwa wanacheza pea kama unakuja unakuta WaPo stejini unaweza) ukasema wote walemavu kumbe mmoja(super con oy)ndie mlemavu.athuman mitkas sasa hivi ni marehemu alikufa kwenye ajali ya mv bukoba.
 
Home boys wa sinza members banza mchafu,jesca ongala,dogodogo kadoda na dancers wengine wa enzi hizo
Digadiga,dogodogo nyamwela,sammy cool,janet jackson R.I.P,
Mtu asikwambie ilikuwa hatari....ulikuwa mtu unaomba usiku usiishe.....Dah!.....
Wakati umeenda sana
 
Back
Top Bottom