RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 167
Kwayu alijua ku motivate wanafunzi wapate div One ... naikumbuka sana Azaboy ya Andrew Kwayu.
alikuwa miaka ipi huyo?Yuko mmoja ivi shamsahau wa Tosa, anavaa njiwa soksi nyeupe anazipandisha Na kiatu cheusi alichokikandika rangi.. Shati linalombana mikono mifupi. Mtu huyu Hana jema Hata moja.. Akikuita lazima akunyuke hajui fimbo Mtu huyu.. Mikono yake tu nadhani hata sheria za fimbo alikuwa hazijui.. Ila nyumbani kwake naskia alikuwa mkarimu sana
Sikumbuki vizuri kwa kweli,ila nakumbuka mwl mrs mushi mke wa cpt mushi,maisha yalikuwa mazuri sana kwa kweli ilboru.kipindi hicho chief losujaki alikuwepo? ama Mzee Shirima pale Ilboru?
mbona sijawahi kuwasiki? hawa watu hawajulikani beyond mipaka ya shule zao, huwezi kuwaita maarufu, maarufu wapi, ndani ya shule zao? Of course kila mtu anamjua mwalimu wake mkuu!. Wana legacy gani hao walimu "maarufu."
Mwalimu Ndosi was more 'maarufu' than any of these hapless chaps, in terms of teaching legacy and lasting memory in the psyche of primary schools kids of Dar-es-Salaam, albeit just of the mainstream class.
Leo nimekaa na kuwambuka baadhi ya Maheadmaster wa shule zetu katika miaka ya 80s, 90s na early 00s, ni wale waliokuwa katika zile shule zetu kongwe za miaka mingi, kutokana na uchache wa shule kipindi kile ilikuwa rahisi kuwajua wengi na wa shule nyingi tuuu.na wanafun
Naomba tuwataje na baadhi ya Character unazozikumbuka
- Mr Kwayu (Azania) huyu alipendwa sana na wanafunzi wake!
- Mama Mkamati (Jangwani)
- Mkangwa (Tosamaganga/Moro Sec) huyu mtu kwa kubadilisha suti hajambo!!
- Mr. Andrew Shayo (Umbwe/Arusha/Old Moshi) huyu alikuwa Bondia ukileta utani anaweza hata akakupa gloves mpigane!!
- Mr. Kitemangu (Ilboru)
- Mr. Makange (Arusha day)
- Mr. Vaginga J Vaginga (Ifunda) huyu alikuwa na bonge la Afro sijui alikuwa haendi Salon?
- Mr. Kisusange (Iyunga)
- Mr. Gwajimira (Kibiti) Huyu nilisikia alishatutoka!
- Mama Mashaka (Nganza) na huyu alishatutoka
- Mama Ropa (Nganza)
- Mr. Mbangwa (Nsumba/Tosamaganga)
- Mr. PB Rwamwasi (Old Moshi/Arusha sec)
- Mr. Malisa (Pugu)
Ongeza basi na wengine na wasifu/vituko vyao ama ongezea wasifu wa baadhi ya hao hapo juu.
Mh! na Rwamwasi je?