Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 113
Yaani wewe umechemka hadi nimeshindwa kuamini kwamba ni Daktari. Mbona umeandika mambo ya aibu? Hivi ukitaka kila mtu ajitambulishe hapa unadhani utaandika upuuzi wako? Ndio maana rushwa haitaisha kama mawazo yako ndiyo haya. Inaonekana ni kijana. Wakati fulani tulia hapa jamvini soma comments tu utapata welevu. Na kama unajiona Dr kweli na unahitaji Watanzania masikini wakupe kipato hicho, jaribu kwenda nje ya nchi. Wewe hata ukilipwa malipo gani, ethics ni zero.Yes kwa jinsi maisha yalivyopanda na ukizingatia umuhimu wao-mshahara wa Daktari(MD)anayeanza kazi walau usiwe chini ya M3.Swimming pools siyo muhimu na unafahamu kuwa siyo muhimu,isipokuwa CT scanning ni muhimu sana kuwepo walau walau hata mngejitahidi katika kila hospitali ya mkoa pawe na hiki kipimo.CT scan umeitaja wewe,lakini pia kuna vipimo vingine muhimu sana(sitavitaja-kuokoa muda),hatunavyo hapa nchini vya kusaidia kufikia true positive diagnosis mapema,hivyo kufanya pia matibabu sahihi yaanze mapema.Unafiki maboresho yangetosha kama unavyojaribu kutetea,Mzee Malecela angekwenda kupasuliwa moyo Uingereza?
Kusema Daktari asilipwe vizuri kwa vile walimu hawalipwi vizuri ni upuuzi.Mbona kwa wenzetu,madaktari wanalipwa vizuri kuliko waalimu au hata nyie watu wa BA na hakuna kelele?kwanini?Huwezi kujua uchungu wa medical school kwa kusimuliwa.Ukisimuliwa utaona ni rahisi tu,utasema mbona hata nyie na kozi zenu za miaka mitatu mitatu huku mnakwenda club kila mwisho wa wiki,mmesoma na mnaujua uchungu wa kung'atwa na mbu na ku sup.Mtu amesotea chuoni miaka karibu 13 kuwa bingwa,na kazi yenyewe ni delicate na bado inamlazimu asome sana pia hata sasa baada ya kumaliza shule kwa faida yenu nyinyi kila Fundimchundo,halafu unampa mshahara sawasawa na mpiga deni wa TRA??Halafu wewe unaona sawa tuu,eti wito,dah!