Unavyofikiri Tanzania itajengwa na CHADEMA peke yake?

mwanaone

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
637
760
mimi nahisi tanzania itajengwa na watz wote pale watakapoamua kufanya kazi kwa pamoja na si chama fulani.
 
Crap! Crap sasa unauliza nini, mijitu mingine!? Unajiuliza kisha unajijibu, hoja ipo wapi? ... Nenda zako ukajivue gamba o kapige kkombe loliondo.
 
Ili tuendelee tunahitaji yafuatayo.
1.Watu
2.Ardhi
3.Siasa safi (Chadema)
4.Uongozi bora (Serikali ya chadema)
 
Crap! Crap sasa unauliza nini, mijitu mingine!? Unajiuliza kisha unajijibu, hoja ipo wapi? ... Nenda zako ukajivue gamba o kapige kkombe loliondo.

siku zote mtu aliyezaliwa bila kutegemewa huwa hashirikishi ubongo wake ktk maamuzi yake na nahisi na wewe ni mmoja wapo. umekurupuka kukimbilia kunishutumu badala ya kutoa maoni yako.au kama ulikuwa huna maoni ungekaa kimya huu ni wakati demokarasia kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. na kwa taarifa yako kamwe nchi hii haitaendelea kwa kuungozwa na chadema peke yake wala ccm peke nchi hii itaendelea pale tutakapoamua kuweka kando itikadi zetu na kufanya kazi pamoja.
 
Crap! Crap sasa unauliza nini, mijitu mingine!? Unajiuliza kisha unajijibu, hoja ipo wapi? ... Nenda zako ukajivue gamba o kapige kkombe loliondo.

Mwanaone, hapa JF wana CDM wameweka makao yao ya muda ukiwabana kidogo wanaanza matusi hasa wakati wakiishiwa hoja ,..pole!!!
 
Mwanaone, hapa JF wana CDM wameweka makao yao ya muda ukiwabana kidogo wanaanza matusi hasa wakati wakiishiwa hoja ,..pole!!!

hakuna kitu kama hicho hata wao wakipewa nchi wawawezi kuijenga kwa maneno wanayoyaongea kila mtu anaufisadi wa peke yake.siasa ndugu yangu ni sumu hasa ikiongezewa pesa
 
Back
Top Bottom