Unavyoambiwa Kuwa Wamisri wa Kale walikuwa soo unatakiwa uwe unaelewa

Hahaha sio kweli walikuwa wa kawaida tu kama sisi tulivyo Mzee! Unaweza kuangalia mabaki ya miili yao Online
ushaona la firauni
kwanza binadamu wa kale(meanzo) walikuwa ni nguvu zikiambatana na miili mikubwa
rejea mnara wa babeli inaaminika kuna jiwe kubwa walilipandisha juu sasa jiulize kulikuwa hakuna winch walipandishaje
pili rejea abari za Daudi na Goliath
 
300px-Other_ramps1b.svg.png
Walikuwa na elimu ndogo kuliko sisi lakini walitumia akili. Hakuna siri jinsi walivyoweza kupandisha mawe juu. Walitumia namna ya ngazi zilizoondolewa baadaye. Ukijua kanuni za wenzo unaweza kusogeza vitu vizito. walikuwa na wenzo, walikuwa na kamba, walitumia magurudumu sahili na walikuwa na wafanyakazi wengi (hakika si Wayahudi waliofanya kazi ya Piramidi, maana piramidi zilitangulia karne nyingi siku za Musa)
 
Tumewashinda kwa kutengeneza computer na ndege, mengine yote wametushinda watu wa zamani. Hadi sasa kujua tu wamisri walitumia dawa gani kuhifadhia maiti isioze karne hadi karne imewashinda wazungu, hadi wakajiuliza na kutumia hila kuwa mmisri alikuwa mtu mweupe. Maanake mweusi daima ni duni hawezi zile kazi.
 
Tani saba tofali moja walikuwa wanabebaje sasa.
Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)
Pia,yaaminika mwanadamu alianza kuwa mfupi na kuwa na akili (ufaham na utashi) kidogo baada ya kutenda dhambi so,sishangai!
 
Hivi wakuu ,mnaamini kabisa kuwa nyakati hizi za karne ya 21 ndio nyakati ambazo binaadamu ana uwezo mkubwa kisayansi?

hii dhana ya kuwachukulia watu wazamani kama watu ambao hawakuwa na maendeleo mimi siiafiki...

Naamini kabisa hapo mwazo haya yote tunayoyaona sasa kama maendeleo mapya ,kipindi hicho yalikuwepo, Tena katika hali ya ubora zaidi ya tunavodhani... maana hata msumari wa mwaka huo before christ ukubwa wake unashangaza.

Tunachokifanya sasa hivi ni kwamba tuna update new version.... ndio maana teknolojia nyingi za zamani zinakua amaizing machoni kwetu.
 
Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)
Pia,yaaminika mwanadamu alianza kuwa mfupi na kuwa na akili (ufaham na utashi) kidogo baada ya kutenda dhambi so,sishangai!
hata bina adamu tuna matoleo mkuu..
maana zamani jitu lina miaka 50 labda ndo linajifunza kutembea jitu la miraba.....

kadri miaka inavyozidi ndivyo tunazidi kuwa wadogo zaidi
 
Wa2 wa zamani walikuwa ni ma-giant sana,unaweza kuta m2 mmoja ni sawa na muunganiko wa watu mia moja wa hivi sasa,kwa kuwa kuna baadhi ya maandko yanadai kuwa hata Ibrahim (Baba yetu katka imani walikuwa na urefu wa futi 12) na Ibrahim nadhani alizaliwa baadae sana Wamisri wakiwa tayar wameshajenga hizo Pyramids (but I am not sure with this phenomenon)
Pia,yaaminika mwanadamu alianza kuwa mfupi na kuwa na akili (ufaham na utashi) kidogo baada ya kutenda dhambi so,sishangai!
Hamna majitu wa zamani! Hapo tumeshapata mifano ya kutosha ya mifupa iliyohifadhiwa tangu miaka mielfu.
Naomba usisambaze habari bila msingi. Hasa kutoka Misri kuna maiti nyingi zilizohifadhiwa (maana halihewa ni kavu kuna maiti nyingi zilizokauku tu badala ya kuoza jinsi ilivyo kawaida). Hizi mumia (mummies) za wafalme hakuna siri jinsi alivyosema hapa mwingine; maana walifunika maiti kwa chumvi na kutoa utumbo hadi imekauka vema.
Kuhusu urefu wa Wamisri wa Kale kuna utafiti wa juzi wa mchambuzi aliyepata PhD juu ya mada hii.

Karibu kusoma mwenyewe: http://scholarcommons.usf.edu/cgi/viewcontent.cgi?article=4500&context=etd
Egyptian Body Size: A Regional and Worldwide Comparison (2011)
Alichungulia mabaki ya wati zaidi ya 1000 walioishi kati ya mwaka 5500 kabla ya Kristo hadi karne za kwanza baada ya Kristo. Picha inaonyesha urefu wa Wamisri (buluu wanume - nyekundu wanawake) na Wanubia (Sudan kaskazini). Wanaume Wamisari kwa wastani walikuwa na sentimita kati ya 160 na 170 kwa jumla. Nyakati za vita na njaa ilileta watu wafupi zaidi (maana urefu hutegemea chakula hasa protini na vitamini kwa watoto).
Hakuna dalili ya majitu (giants) hata kidogo. Wamisri wa leo ni warefu kuliko zamani maana chakula kimekuwa bora.
upload_2018-1-16_21-25-18.png
 
Attachments

  • upload_2018-1-16_20-58-4.png
    upload_2018-1-16_20-58-4.png
    13.2 KB · Views: 101

View attachment 677495
Aisee ni elimu hii
 
Back
Top Bottom