Unavyoambiwa Kuwa Wamisri wa Kale walikuwa soo unatakiwa uwe unaelewa

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
* Moja ya Maajabu Makubwa waliyoyafanya ni kujenga Great Pyramid hiyo kitu ina sifa sifuatazo.

A. Ilijengwa kama Kaburi la Pharao ya kipindi hicho aliyeitwa 'KHUFU' Pia inajulikana kama ni 'Pyramid ya Khufu'

B. Hiyo ndiyo kubwa kuliko Pyramid zote Misri.

C. Lina Urefu wa Futi 481! (Note; Makaburi yetu ya sasa huwa na Futi sita)

D. Ndilo lilikuwa jengo refu zaidi miaka 4000 iliyopita kurudi nyuma!

E. Hili Dubwana lina Uzito wa Ton zaidi ya Milioni 14.5 (Note Haya Magari makubwa ya sasa uzito wake hata Ton mia hayafikishi!
F. Eneo la Mraba ni Futi 756! yaani Hekari 13! (Ukubwa huu unaweza kutosha karibu viwanja 10 vya mpira!
G. Pembe zake zote za Mraba ziko sawa (It means ilipigwa Hesabu)

H. Upande mmoja kati ya kuta nne zipandazo Juu una ukubwa wa Hekari 5.5!

I. Ujenzi ulianza mwaka 2540 Kabla Yesu Hajaja.

J. Ujenzi ulichukua Miaka 23 kukamilika!

K. Ujenzi ulitumia Tofari Milioni 2.3

L. Wastani wa Uzito wa kila Tofari Moja ni Ton 7!

M. Wafanyakazi walijenga kwa siku 7 katika wiki mpaka lilipokamilika baada ya miaka 23!

Kaburi hili Lipo kwenye Moja ya Maajabu Saba Ya Dunia!..
 

Attachments

  • nintchdbpict000355138321.jpg
    nintchdbpict000355138321.jpg
    35 KB · Views: 419
Halafu kigwagwalaaah anadhani kirahisi tu tutashindana na Misri kwenye utalii kwa kuwaweka kina Sepenga (empty set) kwenye kamati ya kupromote utalii.
**Tuanze na Sports, conference, medical tourism kidogo kidogo.
**** Tupunguze masharti ya viza kwa wageni
Huh!
 
Back
Top Bottom