"Unavailable"

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,211
113,520
Hivi kwa nini lakini wewe? Kwa nini unanipigia simu kutoka namba ambayo ni "unavailable" halafu nikipokea husemi kitu, unakaa hewani kwa sekunde 10 halafu unakata simu?

Tatizo lako ni nini hasa? Do you secretly admire me or what? Stop stalking me. Stop your stalking ways.
 
554754_10151037488206322_1610941524_n.jpg
 
ha ha ha, wananisingizia tu hawa.

Ila kwa nini wee uko hendsam mkorofi?

Ukipokea afu ukisema tu 'hello' maneno yanamruka yote.

Unajua nini sista....huyu kila akipiga huwa namsikia anahema. Yaani nasema haloo haloo kama mara nne hivi...yeye hasemi kitu ila nachosikia ni yeye kuhema halafu anakata simu. Atakuwa nani huyu?
 
ha ha ha, sijui.

Afu ngoja niondoke hapa unanitafutia kesi.

Ikungu unadhani mchezo, kama New York

Unajua nini sista....huyu kila akipiga huwa namsikia anahema. Yaani nasema haloo haloo kama mara nne hivi...yeye hasemi kitu ila nachosikia ni yeye kuhema halafu anakata simu. Atakuwa nani huyu?
 
Back
Top Bottom