Unaushauri wowote kwa Dr Steven Ulimboka na kurudi Tanzania?

Afanye mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa na kurekodiwa jinsi alivyotekwa na kutesa. Mahojiano hayo yawekwe kwenye yotube na DVD nyingine itume The Hague kwa Occampo. Huo utakuwa ushahidi dhidi ya JK 2015 atakapong'tuka madarakani.
 
Hadi sasa watanzania zaidi ya 1500 wamekufa kwa kukosa huduma kutokana na mgomo wa madaktari wa mwezi wa tatu na huu wa juzi.
 
Hadi sasa watanzania zaidi ya 1500 wamekufa kwa kukosa huduma kutokana na mgomo wa madaktari wa mwezi wa tatu na huu wa juzi.

Na wale wanaokufa kila siku kwa kukosa dawa, vipimo sahihi ambavyo ni jukumu la serikali yako dhaifu nani anawajibika?
 
Dr. Steve ana sifa zote za kupata status ya mkimbizi wa kisiasa, kwa kuw hatari ya kudhuliwa au kumalizwa kabisa bado ipo, nashauri asirudi TZ mpaka nchi hii itakapo pata Uhuru wake, sijui itakuwa ni lini,hapo ni kitendawili.
 
Angetafuta kwanza nchi ya kuishi na kufanya kazi. Hii itamsaidia yeye mwenyewe na familia yake kwani Ulimboka siyo mtanzania huru tena. Hata kama hakuna mtu wala chombo kinacho hatarisha uhai wake, bado yeye ataishi katika hofu hiyo.

Na kama ataamua kurudi na kuishi Tanzania, basi awe mwangalifu na yule daktari rafikiye wa karibu ambaye hata siku anatekwa walikuwa wote.
 
angetafuta kwanza nchi ya kuishi na kufanya kazi. Hii itamsaidia yeye mwenyewe na familia yake kwani ulimboka siyo mtanzania huru tena. Hata kama hakuna mtu wala chombo kinacho hatarisha uhai wake, bado yeye ataishi katika hofu hiyo.

Na kama ataamua kurudi na kuishi tanzania, basi awe mwangalifu na yule daktari rafikiye wa karibu ambaye hata siku anatekwa walikuwa wote.

hofu ya kujitakia mwenyewe kwani alilazimizwa si kutaka misifa
 
Dr. Steve ana sifa zote za kupata status ya mkimbizi wa kisiasa, kwa kuw hatari ya kudhuliwa au kumalizwa kabisa bado ipo, nashauri asirudi TZ mpaka nchi hii itakapo pata Uhuru wake, sijui itakuwa ni lini,hapo ni kitendawili.

Wala Hana Sifa Za kuwa mkimbizi wa kisiasa. Chama chake cha Siasa kiitwe migomo
 
Kwanza aombe radhi watanzania wote kwa vifo vilivyotokea wakati akihamasiha mgomo wa madaktari ,kisha aache kudharau mahakama , serikali na watu wake mwisho ajitayarishe akirudi lazima ajibu kesi yake ya kuvunja sheria kwa kuongoza mgomo batili na kusababisha mauaji ya halaiki ya wagonjwa tena watanzania wenzake.
Homosapien na wewe unajitahidi kuja na mawazo ya kale! watanzania wote wangekuwa kama wewe Tanzania isingekuwepo.
Yaani wewe unaangalia watanzania waliokufa wakati wa mgomo tu ila wanaokufa kutokana na ubovu wa huduma mbele ya madaktari huwaziii! hauna tofauti na wale wananchi wanaosema kwamba madaktari ndo wanaoiba dawa hospitali na kuzipeleka private! think big!
 
Dr. Steve ana sifa zote za kupata status ya mkimbizi wa kisiasa, kwa kuw hatari ya kudhuliwa au kumalizwa kabisa bado ipo, nashauri asirudi TZ mpaka nchi hii itakapo pata Uhuru wake, sijui itakuwa ni lini,hapo ni kitendawili.

Umeonae@Vicent. kuna ka uhuru fulani hivi wananchi wanamiss maanake hii haikubaliki wala kuingia masikioni mwa watu kuwa waliomtesa Dr wetu ni vibaka< hata mahakama haiwezi kuprove hilo.
 
Back
Top Bottom