Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Hiivi CDM hatuna mtu maki mwene uwez wa kuwa RAIS?? Au ndo tumelewa sifa???
 
Ndioooo ila sio kwa nafas ya urais yy akagombeee ubunge mondul kwa ticket ya chadema rais wetu watuachie dr silaa ,wazir mkuu . Prof lipumba. Na mbatia wazir wa fedha. Hahaaaaa
 
Hapana lakini akiwekwa ntampigia kura kwa kuwa siwezi peleka kura yangu kokote isipo kuwa UKAWA/CDM
 
hapana kubwa aje tu lakini kwenye nafasi ya urais nafas imejaa pana mgombea makini nazani afrika mashariki kama sio africa nzima dr slaa
 
Mikakati ya KITENGO kuwa vuruga UKAWA.Yaani kupima level ya OIL kwenye gari kuona kama inalekea kujikaana yenyewe au yahitaji mkono wa Mtu.




[h=2]View Poll Results: Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?[/h] Voters26.
[h=3]This poll will close on 1st November 2015 at 13:21[/h]
  • NDIYO 14 53.85%

  • HAPANA 12 46.15%




[h=3]This poll will close on 2nd April 2016 at 13:35[/h]
  • Edward Lowassa 84 11.10%

  • Dr. Willibrod Slaa 626 82.69%

  • Wote hawafai/sijaamua 47 6.21
 
Back
Top Bottom