Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Mtazamo unaoonekana na wengi wa wananchi ni kwamba haikuwa sahihi kwa Lowasa kutoka kutaka kugombea kupitia CCM na Ghafla kuangukia Chadema na kuiwakilisha UKAWA.

Wengi wamepata picha ya uchu wa madaraka badala ya nia ya dhati ya ukombozi.

Mtazamo wa wengi ni kua, kama Lowasa angetaka kulinda heshima yake na kupeleka ushindi upinzani, nafasi hiyo ingebaki kwa dr. slaa na yeye kuwa mhamasishaji mkuu.

Lakini kwa hali jinsi ilivyo sasa, kila mtu anapata wasi wasi wa lengo halisi la lowasa kuitaka ikulu na kupata woga. Ikulu kuna nini kupahangaikia hivyo, kila mtu anajiuliza.

Sio peke yangu lakini wengi wanaona hivyo, na hilo linaipa Ushindi CCM.

Bila Shaka, CCM wanapata tena nafasi ya kuongoza Taifa.
 
Huo sio msimamo wa watu wengi, ni msimamo wako na wachache mnaoshare hiyo feeling
 
Msimamo wa waTanzania wachache sana hawazidi 100,000 na kiongozi wao ni Kikwete.Wapiga kura zaidi ya 75% wanamkubali Lowassa.

Mtazamo unaoonekana na wengi wa wananchi ni kwamba haikuwa sahihi kwa Lowasa kutoka kutaka kugombea kupitia CCM na Ghafla kuangukia Chadema na kuiwakilisha UKAWA.

Wengi wamepata picha ya uchu wa madaraka badala ya nia ya dhati ya ukombozi.

Mtazamo wa wengi ni kua, kama Lowasa angetaka kulinda heshima yake na kupeleka ushindi upinzani, nafasi hiyo ingebaki kwa dr. slaa na yeye kuwa mhamasishaji mkuu.

Lakini kwa hali jinsi ilivyo sasa, kila mtu anapata wasi wasi wa lengo halisi la lowasa kuitaka ikulu na kupata woga. Ikulu kuna nini kupahangaikia hivyo, kila mtu anajiuliza.

Sio peke yangu lakini wengi wanaona hivyo, na hilo linaipa Ushindi CCM.

Bila Shaka, CCM wanapata tena nafasi ya kuongoza Taifa.
 
Mtazamo unaoonekana na wengi wa wananchi ni kwamba haikuwa sahihi kwa Lowasa kutoka kutaka kugombea kupitia CCM na Ghafla kuangukia Chadema na kuiwakilisha UKAWA.

Wengi wamepata picha ya uchu wa madaraka badala ya nia ya dhati ya ukombozi.

Mtazamo wa wengi ni kua, kama Lowasa angetaka kulinda heshima yake na kupeleka ushindi upinzani, nafasi hiyo ingebaki kwa dr. slaa na yeye kuwa mhamasishaji mkuu.

Lakini kwa hali jinsi ilivyo sasa, kila mtu anapata wasi wasi wa lengo halisi la lowasa kuitaka ikulu na kupata woga. Ikulu kuna nini kupahangaikia hivyo, kila mtu anajiuliza.

Sio peke yangu lakini wengi wanaona hivyo, na hilo linaipa Ushindi CCM.

Bila Shaka, CCM wanapata tena nafasi ya kuongoza Taifa.

Huu ni mtazamo wa wengi au ni matamanio ya wanaccm ukiwemo wewe?
 
kupata kituko kingine kama hiki andika neno VITIMBILUMUMBA kwenda namba 15009
 
Jifariji mbona Magufuli aliacha kazi ya ualimu na kuingia siasa,vipi huo siyo uchu wa madaraka?
 
Wewe mwenye mtazamo wa wengi hebu angalia hapa waliochangia mada yako wengi wako wapi? Haihitaji fikra kuuuubwa kujua kuwa Watu walioteseka hawahitaji mtazamo, wanataka uhalisia!! Lowasa anafaa saaana
 
Tunaitaji mabadiliko ambayo yameshindika ndani ya ccm, lowassa anachukua nchi kwa kishindo ya ajabu.
 
Mtazamo unaoonekana na wengi wa wananchi ni kwamba haikuwa sahihi kwa Lowasa kutoka kutaka kugombea kupitia CCM na Ghafla kuangukia Chadema na kuiwakilisha UKAWA.

Wengi wamepata picha ya uchu wa madaraka badala ya nia ya dhati ya ukombozi.

Mtazamo wa wengi ni kua, kama Lowasa angetaka kulinda heshima yake na kupeleka ushindi upinzani, nafasi hiyo ingebaki kwa dr. slaa na yeye kuwa mhamasishaji mkuu.

Lakini kwa hali jinsi ilivyo sasa, kila mtu anapata wasi wasi wa lengo halisi la lowasa kuitaka ikulu na kupata woga. Ikulu kuna nini kupahangaikia hivyo, kila mtu anajiuliza.

Sio peke yangu lakini wengi wanaona hivyo, na hilo linaipa Ushindi CCM.

Bila Shaka, CCM wanapata tena nafasi ya kuongoza Taifa.

Nkurunzinza wapinzani walipojaribu kumzuia asijiongezee mda wa kukaa madarakani yeye alidai kuwa wapinzani wake wanauchu wa madaraka.
 
Mtazamo unaoonekana na wengi wa wananchi ni kwamba haikuwa sahihi kwa Lowasa kutoka kutaka kugombea kupitia CCM na Ghafla kuangukia Chadema na kuiwakilisha UKAWA.

Wengi wamepata picha ya uchu wa madaraka badala ya nia ya dhati ya ukombozi.

Mtazamo wa wengi ni kua, kama Lowasa angetaka kulinda heshima yake na kupeleka ushindi upinzani, nafasi hiyo ingebaki kwa dr. slaa na yeye kuwa mhamasishaji mkuu.

Lakini kwa hali jinsi ilivyo sasa, kila mtu anapata wasi wasi wa lengo halisi la lowasa kuitaka ikulu na kupata woga. Ikulu kuna nini kupahangaikia hivyo, kila mtu anajiuliza.

Sio peke yangu lakini wengi wanaona hivyo, na hilo linaipa Ushindi CCM.

Bila Shaka, CCM wanapata tena nafasi ya kuongoza Taifa.

Dr. Slaa yupi unayemuongelea, Hakuna mtu anayeitwa Dr. Slaa ndani ya Ukawa. Au ulimaanisha angempisha CCM? Sijakusoma mkuu.

CC. stroke kichakaa man anatory antony Janjaweed Prisoner 46664 Ngongo tindo [MENTION]daud mchambuzi[/MENTION] Idimulwa aiai654 shost
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom