"Unatutia aibu Gigy!" Watanzania wakerwa na tabia za Gigy Money huko Kenya

Swadakta. Hamna kashfa. Msabahi mkeo kama anavyo vichupi hivyo.
Narudia tena mauno kunengua hamna issue... Concern ni bendera yetu ya taifa kudhalilika.
We love this nation too much ! The slightest disrespect to our flag inatukera !
Period
Bendera yako na nani ? Yeye sio yake ? Hata kudhalilika / Aibu ni subjective..., hata mimi naweza kusema comment yako inaleta aibu kwa mtu kuongea kwenye sentensi moja na neno bendera..., Ila Je nikupangia cha kusema ?

Mambo ya kuanza kupangiana maisha na kufuatiliana hayana mwisho mzuri..., Watu wenye fikra kama hizi ndio zamani wangeweza kumtoa kafara dada wa watu eti kwamba huenda mvua hazinyeshi au laana ya yeye kufanya hayo ndio Corona imekuja... Very Dangerous Thinking...

Tusipangiane maisha...
 
Back
Top Bottom