Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

jamani hii ndo ile ambayo huwa inasifiwa au?

20211120_135521.jpg
 
Ebwana ehh !!!! Kumbe mimi ndio sina pesa nimeamini
Hapana si kwamba huna pesa bali wewe ndiye mwenye nidhamu katika matumizi ya pesa! Miili yetu hii ukifa leo utazikwa mavumbini utaoza na kutoa kila aina ya harufu mbaya, je kuna sababu gani ya kuupulizia pafyum ya gharama kubwa kiasi hiko wakati mtaani ombaomba na watoto yatima wamejaa namna hii? Sio hao tu usikute hata ndugu yake hawezimsaidia kiasi hiko cha pesa!
 
Kwenye vitabu vya Dini iliandikwa kila binadam atakula kutokana na jasho lake , mimi naweza kununua unyunyu wa laki 9 alafu nikashindwa kumsaidia mtu , Dunia ya saaa haipo hivyo leo tafuta mashule yamazaminiwa na taasisi za dini alafu waambie hauna Ada kama watakuruhusu uwaachie mzigo wako. Imeandikwa kila mtu ataubeba mzigo wakee ,
 
Sawa mkuu, huo ni mtazamo wako na upo huru kuishi na kutoa msaada kadri unavyojiskia, sema tu binadamu tunatofautiana kwa mitazamo na roho za kutoa!
Yuko ambaye yu tayari kujinyima ili asaidie wengine na yupo ambaye hata awe na ziada mpaka aje kukusaidia ni shughuli pevu!
 
Hakika kabisa, Dunia ya sasa Tupac alisema Dunia ina hela ya kutengeneza Vifaa vya vita ila hawana hela ya kuwasaidia maskini na wanaokufa na njaa
 
Back
Top Bottom