Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Saa yes tuko pamoja hapo ulevi wangu pia nakumbuka niligombana na rafiki zangu niliponuanua s3 gear kwa milioni 1 na laki 2 nilikaa nayo miezi miwili tu nikaidondosha, ulevi mwingine simu hapo utaniua
huu ulevi siyo poa yaani.Mpaka inabidi wakati mwingine hata mke akikuuliza hii saa/unyunyu ni sh.ngapi inabidi umuongopee maana ukinyosha maelezo tu ni ugomvi.

Mimi simu hapana sina mzuka nazo kivile.
 
Back
Top Bottom