Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Choo Cha Kulipia

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
853
1,000
Hakika kila mtu na ulevi wake, mimi hata nikinunua unyunyu huwa nasahau hata kuupiliza, sina harufu yoyote na napenda pia harufu halisi hata mdada awe mcute vipi akiwa na manukato makali hata udi tu basi mimi nakaa mbali nae.
Kila mtu na starehe yake hakika
Kwa kweli unyunyu na Saa ya mkononi ni vitu ninavyoweza kununua kwa bei yoyote ile.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,292
2,000
Birthday present from jina kapuni and then I fall in love with this perfume.

E02A0557-B4CF-4277-A1BF-47E71E88C8F0.jpeg
 

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,064
2,000
Haya ni maajabu. Tazama panya wanavyoabudiwa. Waumini wanaamini ukimuona panya mweupe unabarikiwa zaidi


Usisahau kugusa neno SUBSCRIBE ili kupata na kujua maajabu zaidi duniani

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 

Choo Cha Kulipia

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
853
1,000
Saa yes tuko pamoja hapo ulevi wangu pia nakumbuka niligombana na rafiki zangu niliponuanua s3 gear kwa milioni 1 na laki 2 nilikaa nayo miezi miwili tu nikaidondosha, ulevi mwingine simu hapo utaniua
huu ulevi siyo poa yaani.Mpaka inabidi wakati mwingine hata mke akikuuliza hii saa/unyunyu ni sh.ngapi inabidi umuongopee maana ukinyosha maelezo tu ni ugomvi.

Mimi simu hapana sina mzuka nazo kivile.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom