Unatumia sabuni gani kuogea?

Naona JAMAA wamepindua meza
Ila.kuna moja inaitwa MBUNI iko poa sana
Ha ha ha sijaiona kitamboo. Moshi ndu huwa naionaga. Kuna ingine pia inaitwa kanga ingine komoa na mshindi. Hizi sabuni ni za kenya eh? Atleast jamaa najua ni lasway na kenyatta wana ubia. Hizi zingine mbona ni adimu sana?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ni za kenya na zinakuja kwa nadra sana siku hizi ila ni sabuni nzuri sana
 
Hivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!
Nilikuwa nazipenda lkn sasa aaah
 
😊
2348739_IMG_5113.jpg
 
Back
Top Bottom