Unatumia njia zipi kupunguza ama kuondoa mawazo na hali ya kuwa bored!

bobby_Barbosa_9

JF-Expert Member
Jul 29, 2019
622
1,252
Kama kuna chochote kile kimewahi ku'kukuta kati ya haya mambo,

1.kufukuzwa kazini/kukosa kazi.
2.kuumizwa na mapenzi kama vile kuachwa.
3.kufiwa na mtu wa karibu.
4.kuumia ama kuumwa.
5.kupoteza mali yako km vile simu.
N.k

Naomba tu'share njia ambazo unazitumia/ulizitumia ili kuondoa mawazo na kubadilisha hali huzuni kuwa furaha.

NB: niliwahi sikia tafiti kwenye chanzo kimoja hivi kilisema "watu wengi walio jiua walikosa ushauri na njia za ku control hisia zao kabla hawajafanya tendo hilo"

Mimi binafsi nikiwa bored ama na stress napendelea kuwa karibu na mschana wangu ikibidi ku sex kabsa na inanisaidia kuondoa mawazo... japo sio kila tatizo natumia njia hiyo:

Karibuni tujuzane..
 
Mtafute mtu anayeitwa " Yesu Christo". Kiboko ya stress. Mimi ndo ananisaidiaga kupita magumu niliyowahi kukutana nayo
 
Kama huyo msichana ndiye aliyekuumiza inakuaje?

Back
Top Bottom