Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
670
108
Wadau,
Kuna baadhi ya condom zina mafuta sana, nahisi kama si nzuri kwangu coz nikiivaa tu nasikia hata misisimuko inapungua. Si vema kuitaja nisije nikaharibu biashara za watu ila kwa kuwa nimeshaeleza zina mafuta mengi, nitakuwa nimeeleweka. Nishirikishe aina unayotumia wewe nijaribu kubadili aina.
Ahksante sana.
 
Kumbe leo ni jumapili hata watoto wa shule wamo! Kwani shule zimefungwa au huyu ni wa day!
 
nasikia eti ni dhambi kutumia kondomu halafu zimeletwa na wazungu ili kuuwa vizazi
 
Ndom za nini tupa kule kuharibiana starehe tu
mara mafuta mengi, mara nyingine kavu unakuwa kama unatumia kamfuko ka sh 50
mara ndom nyingine vimini aaaahhh....

Hahhhhhaa zinakera hata mi ni mfuasi wa nyama nyama kwani tutafikisha miaka miaa bwana!!
 
nasikia eti ni dhambi kutumia kondomu halafu zimeletwa na wazungu ili kuuwa vizazi

Naam, kutumia kondom ni dhambi, kwa imani yangu tendo la ndoa ni sakramenti, takatifu hivyo lafaa kufanywa heshima zote stahili!
 
Back
Top Bottom