Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Acha uongo kupga pcha kichwa tu tena sura unaihide kipi kinakushinda? Basi tupe ushahidi kutoka kwa mmja wa wateja wako aliyefanikiwa otherwise funga tu hii thread uache kuibia watu pesa zao.

Mwaka wa pili huu toka tuanzishe uzi huu na wengi sana kama wewe walirusha shutuma. Mpaka sasa hatuna malalamiko na udongo wetu umeanza kuuzwa mpaka nchi jirani na za mbali.

Tunakuomba tumia lugha ya kistaarabu. Tunakuomba pia njoo tukupige picha ya awali kama una kipara au tatizo lolote la ngozi, halafu tumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kisha kila wiki tutakupiga picha na kuiweka humu. Yote hayo tutafanya kwa gharama zetu.

Haina haja ya kuandikia mate na wino upo. Namba zetu ni 0625249605.

Karibu sana.
 
Naomba nijitoe mhanga. Niwe wa demo.. Npe location unapopatikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom