Unatengeneza tatizo ki ujanja ujanja halafu unalitatua mwenyewe ili uonekane ndio

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,992
2,000
Wangapi tumekuwa na tabia hii ya kutengeneza tatizo au tukio halafu unakuja kulitatua kuonyesha kuwa wewe ndio mwenye uwezo wa kutatua na unajali, kwa mfano

Kwa wanaume Upo nyumbani ulipopanga wapangaji wote hawapo unachukua balbu ya taa ya nje unaitoa unaweka iliyoungua badae wakija wakikuta giza hamna taa ya nje unajionyesha wewe kidume unachukua balbu ile ile unairudishia ili uonekana mkaka mzuri na unawajali wenzio kwa gharama zako.

Kwa wanaume unatengeneza tukio la kukorofishana na mkeo au demu wako ana chukia kweli anakasirika mnakosana maana ni siku nyingi hujamuona akichukia anakuwa mbogo unampigia magoti na zawadi juu unampa demu au mke anafurahi, ulichotaka wewe ni tukio hilo tu. ila uwe makini maana atakuwa anakasirika tu ili umpe zawadi kama hujampa siku nyingi.

Kwa kina dada una mahitaji yako ambayo unajua pesa hizo huwezi pata inabidi umfanyie mtu wako tukio maana unajua anakupenda sana sana kwa vyovyote vile unajifanya unaumwa au una shida flan unamwambia akutumishie kiasi cha pesa, anaamua kukutumia na asipo kutumia unajifanya umetatua mwenyewe na kujidai kwake kuwa mi sio ombaomba bhana nimetatua tatizo unamwambia jiandae maana naona huna hela ya kunistiri.

Kwa wanaume unamuona mbi dada unampenda sana ila yeye hakupendi, unamuombea kila kukicha apate tatizo au awe na shida flan yan ndio ombi lako kila kukicha au unajifanya kuandaa vijana kutaka kumkaba au kumshambulia halafu unajifanya kujitokea kutoa msaada wa haraka ili uonekane ni msaada zaidi na badae urudie kumtongoza akukubali.

Dunia ina mengi ila tabia hizi tuziache
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,992
2,000
TCRA wanapo tangaza kuanza kusajili laini tar 1 Mei, habari hizi wanakuwa hawajazisikia siku ile ile ili watoe katazo kwakuwa watanzania wote hawajawa na vitambulisho. au
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
10,625
2,000
Wangapi tumekuwa na tabia hii ya kutengeneza tatizo au tukio halafu unakuja kulitatua kuonyesha kuwa wewe ndio mwenye uwezo wa kutatua na unajali, kwa mfano

Kwa wanaume Upo nyumbani ulipopanga wapangaji wote hawapo unachukua balbu ya taa ya nje unaitoa unaweka iliyoungua badae wakija wakikuta giza hamna taa ya nje unajionyesha wewe kidume unachukua balbu ile ile unairudishia ili uonekana mkaka mzuri na unawajali wenzio kwa gharama zako.

Kwa wanaume unatengeneza tukio la kukorofishana na mkeo au demu wako ana chukia kweli anakasirika mnakosana maana ni siku nyingi hujamuona akichukia anakuwa mbogo unampigia magoti na zawadi juu unampa demu au mke anafurahi, ulichotaka wewe ni tukio hilo tu. ila uwe makini maana atakuwa anakasirika tu ili umpe zawadi kama hujampa siku nyingi.

Kwa kina dada una mahitaji yako ambayo unajua pesa hizo huwezi pata inabidi umfanyie mtu wako tukio maana unajua anakupenda sana sana kwa vyovyote vile unajifanya unaumwa au una shida flan unamwambia akutumishie kiasi cha pesa, anaamua kukutumia na asipo kutumia unajifanya umetatua mwenyewe na kujidai kwake kuwa mi sio ombaomba bhana nimetatua tatizo unamwambia jiandae maana naona huna hela ya kunistiri.

Kwa wanaume unamuona mbi dada unampenda sana ila yeye hakupendi, unamuombea kila kukicha apate tatizo au awe na shida flan yan ndio ombi lako kila kukicha au unajifanya kuandaa vijana kutaka kumkaba au kumshambulia halafu unajifanya kujitokea kutoa msaada wa haraka ili uonekane ni msaada zaidi na badae urudie kumtongoza akukubali.

Dunia ina mengi ila tabia hizi tuziache
Kiki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Mung Chris Kuna tatizo mtu akiamua hivi palipo na majirani na karibia na barabara The Lounge 7
Top Bottom