Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,353
- 40,236
Unategemea kumfanyia tukio gani la kushtukiza mpenzi wako ifikapo usiku wa kuamkia tarehe 1/1/2020. Kwa upande wangu siku hiyo nitalia sana na atakaponibembeleza nitampa zawadi ya ajabu sana ambayo naamini na yeye atalia kwa furaha.