Unategemea kumfanyia tukio gani la kushtukiza mpenzi wako ifikapo usiku wa kuamkia tarehe 1/1/2020?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,304
40,145
Unategemea kumfanyia tukio gani la kushtukiza mpenzi wako ifikapo usiku wa kuamkia tarehe 1/1/2020. Kwa upande wangu siku hiyo nitalia sana na atakaponibembeleza nitampa zawadi ya ajabu sana ambayo naamini na yeye atalia kwa furaha.
 
Hajaniona Tangu 2019 ianze ni mwendo wa simu tu

ila usiku wa kuamkia Tar 1 wakati ITV waki count zile dk na sekunde

Ntakua nipo mlangoni kwake nagonga mlango yani ile inagonga 12:00 AM

nitakua mbele ya macho yake with a gift of a smile na mustach zangu.
Inabidi utafute zawadi ya ukweli mkuu
 
Hajaniona Tangu 2019 ianze ni mwendo wa simu tu

ila usiku wa kuamkia Tar 1 wakati ITV waki count zile dk na sekunde

Ntakua nipo mlangoni kwake nagonga mlango yani ile inagonga 12:00 AM

nitakua mbele ya macho yake with a gift of a smile na mustach zangu.
Mara unakuta kumbe na yeye alikua ananyanduliwa.
I mean, ukute na yeye ametembelewa na mgeni na, unaingia sebleni unakuta jamaa limejifunga na taulo, limekunja nne, huku limeshikilia rimoti ya tivii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom