Unatarajia kutoka na nani valentine hii?

Wacha watu watumie viungo vyao effectively! Starehe ya mtu masikini ni ngono, hatuna pesa za kutalii, kwenda hoteli nzuri, kula vizuri...hata ngono jamani!!
Sijakataza mimi mtu kutumia kiungo chake alichopewa bure,au umeona katazo hapo?
 
Wapendwa nawasalimu kwa bashasha kabisa msimu huu wa valentine. Bila kupoteza wasaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni nani unatarajia kutoka naye na kutumia muda wenu pamoja siku ya kilele cha msimu huu wa wapendano yaani tarehe 14/2?

Binafsi kama mambo yataenda kama nilivyopanga nimeamua kuitumia siku hii kwa kutoka peke yangu na kukaa sehemu iliyotulia kwa ajili ya kutafakari mambo yangu binafsi ya muhimu huku nikipata kinywaji laini na chakula cha mchana na usiku.
Na itakuwa maeneo ya Beach...(ndio huwa napenda sana maeneo haya).

Niwatakie heri ya siku hii ya wapendanao in advance....(japo najua kwa wenye kupendana kila siku ni valentine...lakini ili kuipa heshima zaidi lazima kilele kiwepo).


Screenshot_20220212-052659.jpg
 
Back
Top Bottom