Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Amen.. Amen..Baby Sis.. Naelewa mambo ni mengi.. But..All the Best Babe.Dada is proud of you..

Karibu Mdogo wangu.. Uje tuone namna huu mwaka unaweza kuisha.. Kama Mungu atatufikisha huko..

Wishing you all the Best..

Nakupenda. Nakuombea. Nakubariki.
Amen thank you so so much lovely sister. Dada mpole dada mwenye ustaarabu wake.

Nakupenda zaidi dada. Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom