Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Niseme nini kwa habari yako Babe?
Najua unajua namna huu moyo upo kwako..

Na nilivyokumiss.. Unajua ninavyokulalamikia kila iitwapo leo...
Ombi langu: Mwisho wa mwaka huu naomba ufanye namna...
Dooh yaani nimetoa tabasamu nene mno hadi mdomo umegoma kurudi kawaida. Naelewa dearest sis na hata wewe wajua vile nakupendaga bure na ninavyokumissigi.

Tatizo mambo mob akii si unajua tena dada yangu kipenzi. Ila nitajitahidi wallahi siku yoyote ukiwa na muda wa kutosha nikuje nishinde tena tupate yale mambo yetu mazuri.
 
Kuendesha manual car naanzia wapi lakini? Fanya uje kisiwani tulewe zetu tusahau mapenzi kwa muda
Nakuja soon, nikupeleke 5* moja hivi matata. Alafu nikupe koneksheni za kisiwani.

Jifunze manual, kuna kitu inaozea garage hapo kisiwani na mpango wa kuivisha sina. Inatakiwa uipashe pashe

Ila mimi mapenzi hayanipi shida ma'am Mkenya wangu nishamzoea atarudi tu
 
Back
Top Bottom