Unatakiwa uchukue muda gani kuanza kumtongoza mtoto wa kike?

Yaani

Kaswende
Kisonono
Ukimwi
Mizinga
Mimba zizotarajiwa
Kusingiziwa mimba
Kukamatwa ugoni( coz hawasemi kawa wameolewa) Kuna mawili
1 faini
2 kuuwana

Kama mahusiano hayafika ndoa basic juu hayo juu hayakwepiki. Yakikataa sio case

Jioni njema
nimekupat sana kiongozi well said!
 
Maana yake umemtongoza kwa texts au simu. Kwenye simu ulitakiwa umsifie tu(sio hovyo hovyo), na kuonesha interest ya kuwa nae. Baada ya hapo unaomba kumtoa out.

Lakini jibu alilokupa kama ningekua mimi ningemuuliza type yake wakoje? Kifuatacho ningempotezea.

Mwanamke akikwambia wewe sio type yake achana nae hata kama unampenda vipi.
poapoa kaka kuforce akupende pia ni jau
 
Mzee lazima uangalie ulikuwa unatongoza kwa ajili ya mbuthuthu au kwa future
 
Me hata sielew najikuta nishakuwa kwny mahusiano 😎.........najikuta nishahusiana na kijana wa watu sjui ilikuaje najua tunaendeleaje tu.​
 
Habarini Ladies & Gents nije kwenye mada moja kwa moja eti wadau unatakiwa uchukue muda gani kuanza kumtongoza mtoto wa kike baada ya kukupa namba?

Naona kama nimeharibu kaniambia mimi sio type yake, nitakuwa nimekosea wapi?

images

Baada ya kumpa hela
 
Back
Top Bottom