Unatakiwa uchukue muda gani kuanza kumtongoza mtoto wa kike?

Ila wanaume wengine acha mpigwe na vitu vizito kichwani
Kutongozana sa hivi amna unaacha the nature isuggest yenywe
Unadhani angeanza kwa outings za kutosha plus vizawadi na care kama zote angekataliwa?
Neverrr
Mademu wengine hata kumpa out na dinner wanakataa .. wanasema wako busy na visingizio kibao.

Hilo unasemaje
 
Mademu wengine hata kumpa out na dinner wanakataa .. wanasema wako busy na visingizio kibao.

Hilo unasemaje

Inategemea na jinsi ulivyoanza nae mwanzo wa mawasiliano yenu
Unakuta umeanza na swaga za karibu nyumban kwangu sijui getto afu akakataa
Huyo lazma ukimwambia twende outing for dinner lazma akatae pia
Though sio wote
 
Ila wanaume wengine acha mpigwe na vitu vizito kichwani
Kutongozana sa hivi amna unaacha the nature isuggest yenywe
Unadhani angeanza kwa outings za kutosha plus vizawadi na care kama zote angekataliwa?
Neverrr
Mimi sitoi zawadi wala sina muda na outings ila Care tu ndo inayonibeba siku zote
 
je vipi kama nimemfanyia yote hayo ila akaishia kunipenda sana kama rafiki yani hamalizi siku bila kunitafuta lakini mengine akatae
Jitoe kwenye friendzone, ukiona tu mwanamke anaanza kukuweka kama rafiki alafu wewe unampenda jitoe haraka bila hivyo unakosa mali hiyo
 
Yaani

Kaswende
Kisonono
Ukimwi
Mizinga
Mimba zizotarajiwa
Kusingiziwa mimba
Kukamatwa ugoni( coz hawasemi kawa wameolewa) Kuna mawili
1 faini
2 kuuwana

Kama mahusiano hayafika ndoa basic juu hayo juu hayakwepiki. Yakikataa sio case

Jioni njema
 
Maana yake umemtongoza kwa texts au simu. Kwenye simu ulitakiwa umsifie tu(sio hovyo hovyo), na kuonesha interest ya kuwa nae. Baada ya hapo unaomba kumtoa out.

Lakini jibu alilokupa kama ningekua mimi ningemuuliza type yake wakoje? Kifuatacho ningempotezea.

Mwanamke akikwambia wewe sio type yake achana nae hata kama unampenda vipi.
 
Inategemea na jinsi ulivyoanza nae mwanzo wa mawasiliano yenu
Unakuta umeanza na swaga za karibu nyumban kwangu sijui getto afu akakataa
Huyo lazma ukimwambia twende outing for dinner lazma akatae pia
Though sio wote
dah mtoto ana madini huyu nikaribishe PM basi
 
Back
Top Bottom