Habarin Ladies & Gents nije kwenye mada moja kwa moja eti wadau unatakiwa uchukue muda gan kuanza kumtongoza mtoto wa kike baada ya kukupa namba.?naona kama nimeharibu kaniambia mimi sio type yake nitakuwa nimekosea wapi.
..makavu live hiiHujakosea popote wewe sio type yake
Habarin Ladies & Gents nije kwenye mada moja kwa moja eti wadau unatakiwa uchukue muda gan kuanza kumtongoza mtoto wa kike baada ya kukupa namba.?naona kama nimeharibu kaniambia mimi sio type yake nitakuwa nimekosea wapi.
Haina haja ya kupaka icing sugar! Manz kachomoaa
Hapo kupambana ataenda kuliwa hela zake tu hasara iwe mara 2! Demu akishakukataa on the first impression jua ni ngumu hata ukifosi utatumia sana hela 😅😅😅Unataka kumpitia tu au unataka usettle nae?
Kama ni kumpitia tu wewe endelea na maisha yako tu
Kama ni wa malengo nae pambana tu mkuu
Nilisha ambiwaga nilikua nakuheshimu kama kaka yangu na no yako nafuta.Habarin Ladies & Gents nije kwenye mada moja kwa moja eti wadau unatakiwa uchukue muda gan kuanza kumtongoza mtoto wa kike baada ya kukupa namba.?naona kama nimeharibu kaniambia mimi sio type yake nitakuwa nimekosea wapi.
HahahahahaHujakosea popote wewe sio type yake
Hapo kupambana ataenda kuliwa hela zake tu hasara iwe mara 2! Demu akishakukataa on the first impression jua ni ngumu hata ukifosi utatumia sana hela
well said! pamojaOn the spot akishaitikia wito wako wewe tiririka tu,namba chukua kwa ajili ya kupanga ratiba za muendelezo wa kile ulichomueleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah ni njia rahisi mno ya kumpata demu!Ila wanaume wengine acha mpigwe na vitu vizito kichwani
Kutongozana sa hivi amna unaacha the nature isuggest yenywe
Unadhani angeanza kwa outings za kutosha plus vizawadi na care kama zote angekataliwa?
Neverrr