Goldman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 1,930
- 2,397
Hizi story za kufikirika na za kijiweni! Tunduma ndo border kubwa kuliko zote tanzania kwa kuwa ndo kuna zambia wanategemea hapo kuna congo drc kuna kipande kidogo pia cha malawi, also ni gateway to south africa lazima kamji kachangamke!
Swala lako la kusema kuna matajiri wadogo huo ni uongo uliopindukia,! Mji wenyewe una ghorofa tano nazo siyo za kihivyo nazo ni lodge maana hotel ni moja tuu, Mwenye V8 yuko mmoja! The whole place! Hakuna mwenye nyumba ya ghorofa ops iko moja sehemu inaitwa mangurueni! So ni kamji kadogo kalikochangamka thats all nothing more nothing less! Utajiri huwa haufichiki! Utajiri ni kama perfume inanukia hata kwa jirani yako, punguzeni stories za vijiweni.