Unataka kwenda kusoma nje??

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,969
1,393
Using'ang'ane kwenda kusoma nje bila kujua kiwango cha ubora elimu katika nchi usika duniani..

[h=2]EDUCATION TOP 20[/h]
  • Finland
  • South Korea
  • Hong Kong
  • Japan
  • Singapore
  • UK
  • Netherlands
  • New Zealand
  • Switzerland
  • Canada
  • Ireland
  • Denmark
  • Australia
  • Poland
  • Germany
  • Belgium
  • USA
  • Hungary
  • Slovakia
  • Russia


Source:bbc
BBC News - UK education sixth in global ranking
 
Watu hawaendi nje kusoma shule ya msingi na secondary. Tuambie top 20 Universities kama kuna yoyote kutoka Rusia au Slovakia!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom