Unataka kuwajua wazalendo waliobaki nchi hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka kuwajua wazalendo waliobaki nchi hii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Aug 30, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  Ni hawa; Fungua jamii Forum saa 6, usiku, utawaona bado wapo wakijadili au kusoma
  Masuala Muhimu ya nchi hii wengine mpaka asubuhi wataendelea kuwepo,
  Bila shaka wanachelea mgao wa umeme hivyo kwa mapenzi na uchungu wa nchi yao
  wapo tu wanajadili na kusoma hili na lile, Kwangu hawa ndio
  wazalendo, wamekosa nafasi ya kutoa michango yao bungeni lakini wako hapa huku
  wanaojiita wawakilishi wa wananchi wakikoroma na wala hawana wasiwasi wa kukosa umeme.
  Wasiwasi utatoka wapi wanao wanalipwa posho kubwa?

  NI
  VEMA SASA JF LIKIWA JUKWAA MAALUM LA WAPIGANIA UHURU MPYA NA WA KWELI!
  ALUTA CONTINUA.................................
   
 2. saliel

  saliel Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hili nakuunga mkono 100%.
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  100%................
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Jukwaa la MMU lina maswala gani muhimu kwa nchi? maana wapo wanaokesha pale.
   
 5. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  tupo tupo.!
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
   
 7. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nam nmo
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hao wanaosafu usiku watakua wa ughaibuni mkuu kumbuka tumetofautiana kwa masaa wewe unaona kama hawalali.
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ni kweli !
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,262
  Trophy Points: 280
  very true. na wengine ni ma- watchmen,wako kazini LOL
   
 11. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Ha! ha! haaa!!
   
 12. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa tuelewe kuwa ww ni watchwoman? Na scientist ni nani sasa?
   
 13. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  MMU wanaingia kama memba ili kupoza machungu lakini kwenye haya majukwaa mengine wataingia kama Guest au Memba
  pale wanapoona kuna umuhimu wa kuchangia ingawa kuna wachache ambao huingia JF baada ya kukosa usingizi!
   
 14. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  Mkuu wako ambao ninawafahamu ni wa hapahapa halafu
  wapo wa ughaibuni ambao kwa huko waliko ni usiku lakini
  ninawaona hapa!
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  yees wachman wa kisasa!!!

   
 16. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kweeeeeli kabisa!!!! au wengine wako kwenye malindo ya zamu za usiku au madaktari wa zamu usiku
   
 17. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  Kuna rafiki zangu ninawafahamu wanakuwa hapa usiku wengine ni walimu na mmoja
  wengine ni maafisa kilimo n.k
   
 18. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Sure,...kama mimi mwenyewe mkuuu,
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hili nalo neeno
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kukaa macho usiku kucha (kukesha), hakuna uhusiano wowote na Uzalendo
   
Loading...