Unataka kuwa tajiri? Wekeza Tanzania

Mongasa

Member
Jul 3, 2019
67
125
Ni rahisi Sana kua tajiri ukiwekeza hapa nchini, yafuatayo yatakusaidia;
1. Lipa kodi ya Serikali
2. Sapoti Chama
4. Changia michango ie Mwenge
5. Jenga urafiki na viongozi kwa kulipia baadhi ya mambo yao
Hayo hapo juu yatakusaidia yafuatayo:
1. Hutosumbuliwa usipolipa mishahara ya wafanyakazi
2. Utanyanyasa wafanyakazi hadi wewe ndo uwaonee huruma
3. Itafika sehemu kodi kwako itakua exempted
Kwahayo na mengineyo KWANINI usiwekeze TANZANIA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom