Unataka kuwa mtu mwenye uelewa (knowledge) mkubwa? Zingatia tabia hizi 10

miss zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,764
2,000
Kila mtu anaweza kuwa na uelewa (knowledge) mkubwa, na sio lazima awe msomi wa kiwango cha juu. Kuzingatia tabia hizi 10 kunaweza kumfanya mtu yeyote kuwa mwenye uelewa mkubwa

1. ‎Kusoma kila nafasi inaporuhusu - iwe ni gazeti, vitabu au yaliyomo mtandaoni. Epuka kusoma "vitu visivyo na maana" na badala yake zingatia vitu vya kukuelimisha, kukuhabarisha au hata kukuburudisha. Usipitishe siku bila kusoma kitu cha maana.

2. ‎ Kiu ya kufahamu kuhusu watu. Si kufahamu kwa minajili ya umbeya bali kwa mfano "flani aliwezaje kufikia mafanikio aliyonayo?"

3. Kufundisha watu wengine. Kadri unavyofundisha watu wengine ndivyo kadri unavyojiimarisha katika mada unayofundisha.

4. ‎Kushiriki mijadala ya maana

5. ‎Kufanya chemshabongo (zipo nyingi tu mtandaoni) lakini pia waweza kufanya na mtu mwingine, anakuuliza maswali/mafumbo

6. ‎Kuangalia vipindi vya runinga vinavyoeleza matukio/vitu muhimu vilivyoifikisha dunia ilipo leo

7. ‎Kutengeneza mtandao wa marafiki wenye ujuzi/utaalam katika mambo mbalimbali (networking)

8. ‎Kujifunza kuhusu vitu vya kumfanya mtu kuwa bora zaidi (self-development)

9. ‎Kutobweteka na uelewa uliopo kichwani hata kama ni mwingi. Uelewa ni chakula cha ubongo. Hakikisha huunyimi ubongo wako mlo wake

10. ‎Kujiamini.Evarist Chalali Istagram
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
2,171
2,000
Yes! nimeikubali But zomboko wewe mbona huchangiagi?,

yaani wewe ni mtoa thread tuuu, vijana wangu hapa kijiwni wanakuita M.T.T! eti ni kweli?
 
canular

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
505
500
Naongeza hili kua msikizaji saana ongea kidogo upate kujua mengi
Kila mtu anaweza kuwa na uelewa (knowledge) mkubwa, na sio lazima awe msomi wa kiwango cha juu. Kuzingatia tabia hizi 10 kunaweza kumfanya mtu yeyote kuwa mwenye uelewa mkubwa

1. ‎Kusoma kila nafasi inaporuhusu - iwe ni gazeti, vitabu au yaliyomo mtandaoni. Epuka kusoma "vitu visivyo na maana" na badala yake zingatia vitu vya kukuelimisha, kukuhabarisha au hata kukuburudisha. Usipitishe siku bila kusoma kitu cha maana.

2. ‎ Kiu ya kufahamu kuhusu watu. Si kufahamu kwa minajili ya umbeya bali kwa mfano "flani aliwezaje kufikia mafanikio aliyonayo?"

3. Kufundisha watu wengine. Kadri unavyofundisha watu wengine ndivyo kadri unavyojiimarisha katika mada unayofundisha.

4. ‎Kushiriki mijadala ya maana

5. ‎Kufanya chemshabongo (zipo nyingi tu mtandaoni) lakini pia waweza kufanya na mtu mwingine, anakuuliza maswali/mafumbo

6. ‎Kuangalia vipindi vya runinga vinavyoeleza matukio/vitu muhimu vilivyoifikisha dunia ilipo leo

7. ‎Kutengeneza mtandao wa marafiki wenye ujuzi/utaalam katika mambo mbalimbali (networking)

8. ‎Kujifunza kuhusu vitu vya kumfanya mtu kuwa bora zaidi (self-development)

9. ‎Kutobweteka na uelewa uliopo kichwani hata kama ni mwingi. Uelewa ni chakula cha ubongo. Hakikisha huunyimi ubongo wako mlo wake

10. ‎Kujiamini.Evarist Chalali Istagram
Sent using Jamii Forums mobile app
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,240

Nimeipenda hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom