Unataka kuwa maskini?

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Hii ni email ambayo imekuwa forwarded kwangu juzi na nimeona itakuwa vizuri nikii share na wadau hapa, rule zilizotajwa hapa ni kumi tu, ningependa kuona mchango wenu kwenye kuziongeza zaidi na zaidi na kwa kuanzia tu mimi nadhani pia- Putting the wrong government in power ni risk ambayo kwa mazingira ya nchi nyingi za kiafrika ilitakiwa iwe top of the list.

Hello friend if you want to be poor - then implement strongly the following rules,

10 GREAT RULES THAT WILL HELP YOU REMAIN POOR ALL YOUR LIFE

1. Never wake up early:
Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up?

2. Never plan how to spend your money:
Whenever you get money, start spending it right away and when it is finished, try to count and recall how you spent it.

3. Don't think of saving until you have real big money:
How can you save when you earn so little? Those telling you to save are not sympathetic to your burning needs.

4. Don't engage in activities usually reserved for the "uneducated":
How can you, a graduate, engage in petty trade or home-based production? That is for people who never went to school.

5. Don't think of starting a business until an angel comes from heaven and gives you capital:
How do they expect you to invest before you get millions of shillings?
Even though more than half the businesses in your town were started with a few hundred shillings, you as a smart person can only start with millions.


6. Complain about everything except your own attitude:
Blame the system, the Government and the Banks that refuse to lend you money. They are all bad and do not want you to get rich.

7. Spend more than you earn:
To achieve this, buy consumer products in credit and keep borrowing from friends and employer

8. Compete in dressing:
Make sure you wear the latest clothes among all the workers in your office. Whenever your neighbours buy a new phone, get one that is more expensive. Be first to be married every end of the month or any pay day.

9. Get yourself a nice second- hand car that costs more than three times your gross monthly pay:
That will surely keep you in debt long enough to hinder the implementation of any bad plans that could make you accumulate capital.

10. Give your children everything they ask for since you are such a loving parent:
They should not struggle for anything because you do not want them to suffer.
That way, they will grow up lazy and hence poor enough to ensure they cannot help you in your old age.

If you diligently implement these 10 great rules, you will not fail to invite poverty in great measures to your homestead. That way, all important leaders, from East or West, will spend a lot of hours thinking about you, planning how to uplift your daily expenses above one dollar. Isn't it nice to be the subject of concern of all those leaders and scholars?
 
Kanakansungu,

Pokea 5- umesahau vitu viwili!

1. Nyumba ndogo kwa wale wenye ndoa- na kuwa na wapenzi wengi kwa ambao hawajao bado!!! Hili ni shimo la umaskini...pamoja na ukweli pia kuna uwezekano mkubwa kuleta maradhi nyumbani na kuacha mjane, na watoto yatima!

2. Pombe nyingi ya kupindukia huleta umaskini haswa kwa wanaume! Huu unywaji wa pombe huenda sanjari na kampani mbaya ya kutumbua kwa kwenda mbele!
 
Kanakansungu,

Pokea 5- umesahau vitu viwili!

1. Nyumba ndogo kwa wale wenye ndoa- na kuwa na wapenzi wengi kwa ambao hawajao bado!!! Hili ni shimo la umaskini...pamoja na ukweli pia kuna uwezekano mkubwa kuleta maradhi nyumbani na kuacha mjane, na watoto yatima!

2. Pombe nyingi ya kupindukia huleta umaskini haswa kwa wanaume! Huu unywaji wa pombe huenda sanjari na kampani mbaya ya kutumbua kwa kwenda mbele!

Mzalendo- vipi kwa wale wanaume ambao huhongwa na kununliwa pombe na hizo nyumba ndogo zao?
 
Nimependa sana jina la kana-ka-nsugu naomba maana yake nimpe mtoto wangu jina hili..limekaa kiafrica zaidi.
 
Nimependa sana jina la kana-ka-nsugu naomba maana yake nimpe mtoto wangu jina hili..limekaa kiafrica zaidi.

Uki tanslate kama lilivyo kwa lugha nyingi za kiafrika ni 'katoto ka mzungu' au 'katoto ka kizungu' Asili ya jina hili ni imani potofu iliyokuwepo kijijini nilipokulia na kwingine kwingi kwamba kila kilicho bora kina association na uzungu au ulaya. Ndio maana kwa utaratibu huu utasikia watu wakisema 'mwembe mzungu' kama mti wa maembe unazaa maembe makubwa na matamu au 'Viazi Ulaya' kwa utaratibu huo huo. I was a special kid, I guess huo ndio ulikua mwanzo wa jina.
 
Ohh thanks Kana-ka-Nsungu.

Kama si usukumani hii basi mafikili yangu si mazuri..anyway jina nzuri sana..napenda sana jinsi watu wa zamani walivyo kuwa na fikili..ingawa sio vyote walivyokuwa wakifikili vilikuwa bora..ila most of them was good..maisha yalikwenda vyema sana.

Thanks
 
Back
Top Bottom