Unataka kutest kujua antivirus yako ina fanya kazi (chizicomputer) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka kutest kujua antivirus yako ina fanya kazi (chizicomputer)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by edjizzo, Dec 25, 2010.

 1. edjizzo

  edjizzo Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  STEP
  INGIA KWENYE DESKTOP>RIGHT CLICK MOUSE OPEN TEXT.DOCUMENT
  KISHA INGIZA JINA JINA KABLA YA KUINGIZA KITU NDANI YA TEXT.DOC na isave kwa jina ili
  (EICAR Test code)
  KISHA NDANI YA HIYO TEXT SAVE HII

  X5O!P%@AP[4\PZX54(P^)7CC)7}$EICAR-STANDARD-ANTIVIRUS-TEST-FILE!$H+H*


  UKISHINDWA ACHA USI ANZE KUPONDA AKUNA MTU ALIYE KULAZIMISHA
   
 2. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  ngoja nijaribu
   
 3. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu test yako nimefanikiwa; maana nilipo save kwa mara ya mwisho, Anti-Virus yangu ili detect file kama threat na kuli-delete immediately. Thanks for this. Swali: Je, hiyo ina maanisha hii Anti-virus yangu inauwezo wa kudeal na virus, spywares, trojans, worms etc.?
   
 4. D

  Derimto JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Thnx. Man. We ni mtu wa maana sana humu jamvini ni basi tu waropokaji wa humu ndani yaani kwao kuponda ni sifa kubwa
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ila mkuu hii ilishapostiwa hapa kabla
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ngoja wajaribu wengine kwanza......SUMU HAIJARIBIWI KWA KUONJA....
   
Loading...