Unataka kusoma Canada?

Dili nzuri wabongo tuchungulie madili kama haya.......matatizo kama ya Urusi tuyaounguze
 
Hallo Peter, naona advice uliyotoa inaelemea kwa wale wanaotaka kusoma graduate degrees. Lakini kuna alternative nzuri kwa wanaotaka kusoma undergraduate programs kwenye vyuo vikuu vilivyomo ndani ya jimbo la Ontario. Kuna tovuti inafahamika kama COMPASS.105 ( The Ontario Universities' Application Centre's on-line application to Ontario undergraduate universities ambayo unaweza kutuma maombi ya masomo ya digrii ya kwanza (pamoja na professional studies kama Law and Medicine) kwenye vyuo vikuu vyote vilivyomo Ontario ambavyo orodha yake kamili ni:

Brock University
Carleton University
University of Guelph

Lakehead University
Laurentian University
McMaster University
Nipissing University
Ontario College of Art & Design
University of Ottawa
Queen's University
Ryerson University
University of Toronto
Trent University

University of Ontario Institute of Technology
University of Waterloo
The University of Western Ontario
Wilfrid Laurier University
University of Windsor
York University

Hii inarahisisha kwa kiasi kikubwa application process kwa kutoa one-stop solution kwa wale ambao wako interested kusoma digrii ya kwanza (including Law & medicine) within the Ontario area.
 
Thanks Nyama hatari for ur useful information.....lakini jamani tatizi huwa pale pale kupata chuo sio tatizo wengi wakiamua wanapata nafasi,taizo lipo kwenye kupata Scolarships.Kama kuna mwenye njia za kupata scolarships majuu aziweke hapa
 
Back
Top Bottom